Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

spurs is the only one who is gonna decide who to lift the trophy
according to the fixtures stand

inaitwa ukiteleza tu mwenzio kanyanyua makwapa
 
Nimekumbuka kauli ya Pepe (Fc Porto) kwamba wanakuja Emirates kuwa-neutralize Arsenal. We neutralized Man City today
 
Ilibidi city afe, nime-mind sana
mbali na kuwa nimechek mpira pia stats hazidanganyi mlizidiwa
embu niambie utamuuaje mtu kama huyo hapo
Screenshot_20240331-203013_FotMob.jpg
Screenshot_20240331-203020_FotMob.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20240331-203013_FotMob.jpg
    Screenshot_20240331-203013_FotMob.jpg
    19.9 KB · Views: 17
Anyway, bado Arsenal hatujachonga mfumo mzuri wa kumfunga City, nilisema tupo vizuri kwa sasa kucheza na liva kuliko city.

Mentally tumekua. Hatukubend hata refa alivyokua anaifavor city kwenye maamuzi ya 50/50. Hata hivyo hii mechi ni ushahidi mwingine kua tunahitaji ST. Waweza argue mbona city ana ST na hajascore, na upo sahihi, ila ona jinsi Gabriel alivyokua anammark Haaland, Saliba anam-bully Haaland, ila hii ikawapa edge Rodri na Kelvin.

Kuna mtu alisema Martin atamfikia Kelvin soon ila ambao hawakumuelewa wakapindisha wakasema kamaanisha Martin yupo sawa na Kelvin. Na kuna member mapema kabisa akasema Kelvin atatuonyesha yeye ni nani.

Well, here we are. Na hakuna jipya. Siyo kwa Martin wala kwa Kelvin.

Gvardiolni beki mzuri, composure, strong, awareness ya juu. Trossard ilibidi awepo kwa pamoja na Jesus kwenye pitch.
 
Back
Top Bottom