Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna mtu anapoteza muda kumjibu nyumbu.

Zaidi ya salamu hamna kingine wanastahili kupata hawa punda
Punguza makasiriko bwana mdogo, Nyumbu nae ni ntu kama ntu nyingine.
Hii ni burudani tu humu unatakiwa ufurahi, ucheke na kuenjoy huku ukipangilia mikakati ya kutafuta pesa, wewe ukijifanya uko serious sana utaishia kujitundika kwenye kamba kama walivyojitundika Arsenyau wenzio waliotangulia
1710876314828.jpg
 
Punguza makasiriko bwana mdogo, Nyumbu nae ni ntu kama tu ntu nyingine.
Hii ni burudani tu humu unatakiwa ufurahi, ucheke na kuenjoy huku ukipangilia mikakati ya kutafuta pesa, wewe ukijifanya uko serious sana utaishia kujitundika kwenye kama walivyojitundika Arsenyau wenzio waliotanguliaView attachment 2939412
Usijali mi pia namna yangu ya kuenjoy ni kuwakera kwa kusema nawaignore. Actually, hua nasoma mnavyoviandika ila honestly hua naona sistahili kuvijibu.

Show me michongo ya pesa sasa
 
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY

"Kai Havertz Versatility Is a key"

✍🏾 Umewahi kujiuliza Kai Havertz anacheza Nafasi gani uwanjani? Tuachane na On paper

✍🏾 Kai havertz Ni kama kiraka tu hana position maalumu ila anaweza kutumika position fulani kwa mahitaji fulani kimchezo

✍🏾 Kuna kitu tunaita Transition-based games mfano kule UCL Wanavyocheza basi Kai havertz ni mtu sahihi kwenye game za aina hii

✍🏾 Kai havertz anasaidia team kucheza Mipira ya moja kwa moja yani pass ndefu kama mpinzani ana press kwanzia juu Kai anakuwa target man sababu mrefu kuwin mipira juu

✍🏾Kai havertz anaongeza uhatari wa Arsenal kwenye mashambulizi sababu Ya mikimbio yake kwenye box la mpinzani ( Presence in a box ) ata asipo pasiwa mpira uwa ana drag out mabeki team pinzani na kuachia nafasi wenzie

✍🏾 Havertz anasaidia Sana kwenye positional play games sababu ya uwezo mkubwa kutambua awe wapi wakati gani kulingana approach Mchezo

✍🏾 Mfano tukicheza 4-2-4 kai havertz uwa anarudi chini kidogo kuungana Odegaard kwa misingi miwili Numerical Superiority eneo la kiungo na Kuwa tayari kupress tukipoteza Mpira akisaidiana na Odegaard

✍🏾 Tuje swali la msingi Kai ni Midfield au CF kwa sasa atumike wapi na kwanini?

✍🏾 Sababu ya Versatility yake kai kwa Sasa Anacheza vizuri sana akiwa CF sababu kuna moments za mchezo zinahitaji kucheza transition base approach asa mipira mirefu

✍🏾 Kai akicheza CF analeta uwepo wa mchezaji mrefu kwenye box hivyo ata mipira Cross inaweza kufanikiwa ata kama sio first touch basi second balls, Pia kai na uwezo mkubwa movements zake kuingia kwenye box anaweza kuwa un marked au Marked cha msingi ni positioning kwa mtu anacheza CF kai anacho

✍🏾 Akiwa MD sio kwamba ni mbaya sana hapana but some potential zake zinakuwa limited sababu eneo analo operate na mahitaji yake japo anaweza kucheza vizuri sababu Arsenal wanacheza kitu tunahita positional interchange hivyo anapata wigo kupanda zaidi

Amigos
FB_IMG_1710921182766.jpg
 
Punguza makasiriko bwana mdogo, Nyumbu nae ni ntu kama ntu nyingine.
Hii ni burudani tu humu unatakiwa ufurahi, ucheke na kuenjoy huku ukipangilia mikakati ya kutafuta pesa, wewe ukijifanya uko serious sana utaishia kujitundika kwenye kamba kama walivyojitundika Arsenyau wenzio waliotanguliaView attachment 2939412
Na Hamis keshasema binafsi alikua anamtaka Barcelona!? Mwamba anakomfo sana. Lazima ukubali.
 
Masingeli acha uhuni, muandiko wako sisi wote tunaujua humu.
Odegard ni ID yako mpya usilete ubishi, umeifungua juzijuzi tu hapo 16March2024.
Naona safari hii umeamua kuja na
USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY ili kuvuta attention ya misukule ya humu.
Sasa ndugu yangu Masingeli kila msimu utakua unakuja na ID mpya?
Punguza uoga ndugu yangu, Arsenyau mnatakiwa mjiamini, tena mtembee vifua mbele huku ukikutana na shabiki yoyote wa soka utambe na kuongea kwa sauti useme "Sisi ndio Ma-Bottlers wenyewe" View attachment 2938937
Kuwa na heshima basi ,
 
Kila timu sasa, mpaka Livakuku na Nunez, inajidai wachezaji wake wameumia ili wasicheze mechi za kirafiki 😂😂
 
Mara ya mwisho kutufunga kiungo alikuwa lokonga


Nyie tutapiga 3 half time

Haya manafas mnayoacha ,Arsenal atawapigeni nyingi,

Kwenye kushambulia Arsenal wanakuwaga watano kwenye 2-3-5


Liverpool waliwadharau wakajua hamuwezi kujipapatua


Arsenal ya Arteta ukicheza hivi na mtacheza hivi, mkipona sana half time goli 3 ,sikufichi View attachment 2938301
wewe timu yako tangu kombe la Barclays lianze ujawai tufunga hata goal 4 yani katika vigogo wa pale England nadhani nyie ndo vigogo wenye amna record ya kutufunga hata goal 4 kwenye mechi moja kama ipo leta hapa.

hafu kingine katika miaka kibao pamoja tunakuwaga unga ila OT mmetufunga mara 1 tu aibu hii.
 
Manjesta fans wanaongea sana

Tutakutana tu

Ila mjue mnakutana na

Best team in the world katika transition

Best team in the world katika defence

Best team in the world katika kufunga magoli


Sasa chezeni hivi muone mziki wakeView attachment 2938315
Sisi nyie uwaga hata muwaje tunawalamba tu nakumbuka tumewai wafunga hapo hapo kwenu enzi za wenger beki tukiweka paddy McNair na Tyler blacket kwaiyo sisi uwaga form yenu hata aitutishi lazima tuwa gonge tu.
 
Jana dakika kama 20 walikuwa Wana press , Liverpool wakifanya buildup inakuwa hivi ,ni vile Liverpool walifanya dharau wakawa wanajua mechi imeisha


Vs Arsenal ,7 hag atawadanganya Tena wa press hapo ndio kiama kitawakuta


Wakikaa nyuma maana yake wamesaliti mapambano wametuachia mpira tuwapige Sako la nyani

Wakivizia kaunta

Arsenal ni best team in the world kwa Rest defence

Wakipoteza mpira ,sekunde wamesharudi wote kwenye form ya 4-4-2

Hapo nyuma Kuna 4CBs , Hakuna natural Fullback hapo


White Saliba Magalhaês Kiwior

White Saliba Magalhaês Timber

White Saliba Magalhaês Tomiyasu


But Mikel vs man u anapenda kuwawekea

White Saliba Magalhaês Zinny,


Nyuma wanabaki mabeki watatu


White Saliba Magalhaês



Jorginho Zinny


Juu Ødegaard na Rice

Hawa umbwa wataita maji mmaView attachment 2938353
uwaga nacheka sana unavyokuja na izi tambo ile ni OT brother mwaka jana mlialia sana kuwa kipara kapuki bus mwaka uu sijui mtakuja na kisingizio gani mkisha gongwa.
 
Back
Top Bottom