Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Halafu manyumbu na Kocha wao kitu ambacho hawakifikirii ni kwamba Arsenal ya Sasa na Arsenal iliyoanza ligi ni vitu viwili tofauti.

Mwanzoni mwa ligi tulikuwa tuna struggle kutengeneza chances za kufunga, hata mpira wetu haukuwa na flow nzuri.

Me nataka ajaribu kucheza mpira wa kupishana aone mziki wake
Tatizo timu yenu inaposikia inacheza na Manchester sijui inaanzaga kuogopa lile jina tuta waramba kweli kweli
 
Kuna mtu anapoteza muda kumjibu nyumbu.

Zaidi ya salamu hamna kingine wanastahili kupata hawa punda
Nyie bila sisi ushindi wenu auna maana ujui sisi ndo tuna big fan base in the world kwaiyo lazima uwe karibu na sisi hata media zinatuitaji kuliko tunavyo ziitaji kijana tulia bila Manchester United pale uingereza hata mdhamini anaweza kujitoa.
 
Sisi nyie uwaga hata muwaje tunawalamba tu nakumbuka tumewai wafunga hapo hapo kwenu enzi za wenger beki tukiweka paddy McNair na Tyler blacket kwaiyo sisi uwaga form yenu hata aitutishi lazima tuwa gonge tu.
Ww umewahi kutufunga kwetu...sisi tumewadunda hapo kwenu na kutangazwa mabingwa hapohapo OT....all of this is called history...palepale tunarudi...goli 3 au 4 au moja zote zinaleta points 3...safari hii Huna mbinu ya kutufunga...Liver mwnyewe alitoa watu wa kazi mwishoni akaweka vitoto ndo mkashinda...vngnevyo mlikuwa mnalambwa ile gemu
 
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY

{Siri Nyuma mafanikio ya asilimia kubwa kwenye sajili Arsenal Siku karibuni}

✍🏾 Usajili ni kamari nafikiri kila mtu anatambua hili hivyo basi sio kila sajili itafikia matarajio yaliyopo hapana lakini sasa

✍🏾 Unaweza Kuhakikisha Asilimia Kubwa sajili zako zinalipa leo nitakupa Secret Code ambazo nafikiri zinawasaidia Arsenal kwenye sajili nyingi hivi karibuni

✍🏾 Kusajili Specific Profile ya Mchezaji:hii moja siraha kubwa sana sababu sio kila mchezaji mzuri ni profile sahihi kwenye system yako Sijili Profile sio Jina tu la mchezaji

✍🏾 Profile ya Mchezaji unaipata kwenye attributes zake kiuchezaji ana offer nini na wewe unahitaji nini mfano

✍🏾 Sajili ya Rice Arsenal walihitaji Physically, Availability, defensive awereness vyote hivi wanavipata kwa Rice ndio maana all the way wakaenda kwa Rice adi kwa dau walilotoa nafikiri sasa kila mmoja anaona kazi Rice anafanya profile sahihi kwenye mahitaji kocha

✍🏾 Arsenal wanaingia sokoni wakihakikisha wana Plan B kama First ikikosa na plan B bado inakuwa ndani Profile wanahitaji mfano

✍🏾 Arsenal walimuhitaji Mudryk akakosekana Wakaenda Trossard anachofanya nazi mnakiona Arsenal alimkosa january Caisedo akaenda Jorginho nazani Jorg unamuona

✍🏾 Kiufupi Arsenal kabla kufanya Usajili wana behind the Scene kubwa kujiandaa kujua wanahitaji nini na kwasababu gani wanaingia sokoni kutafuta Walichokubaliana sio kufukuzia target za watu na paniki Buy

Amigos
FB_IMG_1711017258299.jpg
 
Ww umewahi kutufunga kwetu...sisi tumewadunda hapo kwenu na kutangazwa mabingwa hapohapo OT....all of this is called history...palepale tunarudi...goli 3 au 4 au moja zote zinaleta points 3...safari hii Huna mbinu ya kutufunga...Liver mwnyewe alitoa watu wa kazi mwishoni akaweka vitoto ndo mkashinda...vngnevyo mlikuwa mnalambwa ile gemu
Screenshot_20240321-133951.png
 
Sisi nyie uwaga hata muwaje tunawalamba tu nakumbuka tumewai wafunga hapo hapo kwenu enzi za wenger beki tukiweka paddy McNair na Tyler blacket kwaiyo sisi uwaga form yenu hata aitutishi lazima tuwa gonge tu.
Unaishi kwa historia , unaishi ukidhani ni zama za fergi na Howard Web
 
uwaga nacheka sana unavyokuja na izi tambo ile ni OT brother mwaka jana mlialia sana kuwa kipara kapuki bus mwaka uu sijui mtakuja na kisingizio gani mkisha gongwa.
Mwaka Jana mech ya kwanza kiungo lokonga ,mechi ya 2 hakuwepo lokonga ,hata kunusa box la Arsenal ilikuwa mtihani ,mwaka huu hivo hivo,


Tunakuja OT kuwalamba Tena

Tupo full kikosi ,
 
Bacary Sagna alitembelea mazoezi ya Timu ilipokuwa Dubai, anasema alishangazwa na mazoezi yalivyo magumu na yenye Intensity ya hali ya juu tofauti na kipind akiwa Arsenal chini ya Wenger

Jack wilshere anasema pia , mazoezi yanayofanyika yamemshangaza anasema hajawahi kuyaona hata kipindi akiwa Arsenal

Jack Wilshere believes Arsenal’s training is more intense under Mikel Arteta than it was during Arsene Wenger’s reign.

Jack:

“I’ve never seen first team training at the level it is now. Even when I was there and under Arsene, it’s higher now."

“Mikel talks a lot about the fans and how big they are and again, the atmosphere is the best I’ve ever seen it.”

“I’m quite lucky because I’ve got a relationship with Mikel and I watch first team training all the time.

“He’s actually someone who inspired me to be a coach when I went back there last year. I always thought about coaching but I saw the way that he coaches and the level of detail that he goes into and he’s top.
 
England confirm Bukayo Saka left their camp as “returned to his club for continued rehabilitation on an injury he reported to St. George's Park with”.
 
Mwaka Jana mech ya kwanza kiungo lokonga ,mechi ya 2 hakuwepo lokonga ,hata kunusa box la Arsenal ilikuwa mtihani ,mwaka huu hivo hivo,


Tunakuja OT kuwalamba Tena

Tupo full kikosi ,
wewe jamaa unaachaga akili sometimes yani mechi iliisha 3 kwa 2 hafu unasema urojo gani hapa goal lenye iliitajika VAR ili mpewe goal lile saizi sioni mtapotokea mimi round nipo tayari wewe hamis77 tuweke mzigo mezani.
 
wewe jamaa unaachaga akili sometimes yani mechi iliisha 3 kwa 2 hafu unasema urojo gani hapa goal lenye iliitajika VAR ili mpewe goal lile saizi sioni mtapotokea mimi round nipo tayari wewe hamis77 tuweke mzigo mezani.
Goli likihitaji VAR maana yake likipitishwa ndo linakuwa halali zaidi na manung'uniko yanakuwa hamna...kudundwa ni kudundwa tu
 
Pep was quoted as saying:
Liverpool need more than 90 minutes to win the game, sometimes more; Arsenal sometimes need just 25 minutes to win the games. That’s why they are there.”

One could argue that by scoring early, Arsenal throws their opponents off guard. Caught off guard, a team loses its game plan and attempts to play for a comeback, leaving itself vulnerable and making it simpler for our Gunners to score more
 
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY

Pre game Analysis
( Man City Vs Arsenal ) Ethard 31 march

✍🏾 Nisema tittle Contender Battle, Tacticals battle ni Miongoni mwa match zinazohitaji Small Margins Kushinda

✍🏾 Manchester City Chini Pep Guadiola wanachokicheza Arsenal basi City Wanakifanya pia kwa ufanisi mkubwa tu vitu kama

✍🏾 Numerical Superiority kwenye maeneo tofauti tofauti Uwanjani, High pressing, positional play, Transitions games hivi vitu Guadiola na City yake wanavifanya kwa ufanisi mkubwa tu

✍🏾 City ana Wachezaji ambao ni Quality kwenye kila phases ya Uwanja Kazi anafanya Odegaard pale wanae Bernando Silva, ni wachezaji ambao ni tactical intelligent

✍🏾 City wana Haaland Japo game 2 zilizopita dhidi yao tulifanikiwa mnyamazisha ila sio kwamba haaland hayupo hapana inahitaji umakini zaidi ukizingatia kama KDB atakuwepo uwa anawaongezea City Dimension fulani hivi kiushambuliaji na pass deliverance maeneo ya hatari

✍🏾 Guadiola mwenyewe anajua ni game sio nyepesi hivyo atakuja full mkoko yani akiwa prepared haswa

✍🏾 Arsenal sababu tunaenda kucheza na mtu anae cheza kama sisi kwa ufanisi mkubwa kabisa inatakiwa tufanye tactical tweak kiasi fulani

✍🏾 Tunatakiwa kuhakikisha tunaziba mianya yote ya City kupata nafasi kucheza mpira wao

✍🏾 Moja kufanya Overload asa Eneo la kiungo ili kupoteza ufanisi wao eneo ilo watu kama Rodri , Bernando silva kuwanyima kabisa free flowing maeneo hayo

✍🏾 Je tunawanyima Vipi itapendeza kama tutakaba kwanzia Mid block 4-4-2 ili kutufanya tuwe compact kadri tunarudi chini tunamforce City asogee juu kinachotakiwa ni nidhamu tu kubaki kwenye shape

✍🏾 Alafu tukipata turnover tufanye kucheza mipira mirefu kwenda Kai hizi ndio game kai kwanini zinahitaji Transtions za matukio zaidi kuliko kupiga pass nyingi pia Calmness ya goalkeeper ili tuweze baypass City press

✍🏾 Ushambuliaji Hapa lazima tuwe sharp na haraka kuzuia City kurecover Space alizo acha tunahitaji pace kwenye mashambulizi means Game hii inamuhitaji Martinell kumpin pia Walker asipande sana

✍🏾 Midfield overload lazima tutafute Namna kuwaout number kama sio kuinvert kwa FB basi tuendele kucheza 4-2-4 Maana city anaweza kuja 4-1-4-1 hapa kazi inakuwepo sababu tunakuwa idadi sawa kiungo inabidi White afanye kuinvert kiuongo uongo ili tuwe 3-3-4 au 3-3-2-3 maana yake kati kati tunakuwa watu 5 dhidi 4 wa City mpira ni mbinu

✍🏾 Mwisho tunahitaji kuwa bora kila nyanja uwanjani

Amigos
FB_IMG_1711098909462.jpg
 
Back
Top Bottom