Odegard
Member
- Mar 16, 2024
- 68
- 139
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
MFAHAMU MIKEL ARTETA AMATRIAIN JE KATOKA WAPI ADI KUWA KOCHA
Arteta ni mhispania mzaliwa wa mji mmoja uliopo pwani San Sebastian Spain uko
✍ Arteta amekulia uko San Sebastian na kwa mujibu wa taarifa zake aliwahi kupata matatizo ya moyo akiwa na umri mdogo
✍ Tatizo lililotajwa kushindwa kusafirisha damu safi na ilihitajika kufanyiwa operation na kipindi icho uhispania wataalamu walikuwa wachache
✍ ila alipata matibabu kupona familia yake haikutaka kumzuia ndoto yake kuhusu soka alipenda sana soka tangu mdogo
✍ Akiwa kijana mdogo alipata fursa kupewa nafasi kwenye team ya vijana ya Antiguoko uko kijijini kwao team ambayo Arteta alikutana na rafiki yake mkubwa Xhabi Alonso
✍ Walipata nafasi kucheza hapo karibu miaka 6 kabla Arteta kupata nafasi ya kushiriki shule ya vijana ya Barcelona ikijulikana kama La Masia
✍ Japo hakupata fursa ya kuingia senior team( Team ya wakubwa) aliishia Barcelona B na kutolewa mkopo PSG uko
✍ Alipata mafanikio kiasi uko PSG japo mkopo ulipo isha alikweda uko Scotland Rangers alifanikiwa kupata vikombe kadhaa na aliendelea kuonesha passion na uelewa mkubwa kisoka
✍ Arteta baada ya Rangers alirudi Real Sociedad Spain uko kabla kuja kusajiliwa na Everton
✍ Nafikiri ulimwengu mkubwa zaidi wa wapenda soka ndio wakamjua Arteta akiwa na ndoto zaidi kucheza na rafiki yake utotoni Xhabi Alonso
✍ Alifanikiwa kuwa moja ya vipenzi vya washabiki wa Everton akifunga magoal muhimu akicheza zaidi kama (AM)
✍ Arteta alijiunga na Arsenal ikiwa dead line kipindi team imetoka kufanyia unyanyasi na United ni mchezaji aliyeonesha kujituma
✍ Hakuacha asili yake kiongozi na pengine kuwaelewesha wenzie wakiwa uwanjani alipewa Ucaptain msaidizi na baadae captain mkuu kuondoka Vermaelen
✍ Arteta akiplay part kubwa kwenye mafanikio ya Arsenal FA cup 2
✍ 2016 alistaafu soka rasmi na hapo kukawepo interest nyingi juu yake moja ikiwa kwenda kwa Pochetno au kubaki Arsenal kama Academy coach na tatu msaidizi wa Pep
✍ kwa vile hakuwa na uzoefu wowote aliamua kwenda Man city kujifunza zaidi pia kwa kocha mzoefu mwenye mafanikio
✍ kakaa miaka 3 hapo City na mafanikio mengi kama msaidizi wa Pep Guadiola
✍ kipindi kile anasajiliwa Unai Emery inaelezwa kuwa ata Arteta ni miongoni mwa candidates 8 waliofanyiwa mahojiano
✍ ila nyota ni nyota na mda unaongea zaidi baada kufanya vibaya kwa Unai aliondoshwa team ikitafuta mbadala Ljungberg akiwa kocha muda tu
✍ Jicho la kwanza la Arsenal lilirudi kwa Arteta Head of football wakati huo Raul sanleh akiojiwa alisema "Arteta anajua tamaduni za Arsenal anajua tunahitaji nini"
✍ Ni mwezi December 2019 alianza kazi tangu ujio wake Arteta kaonesha mabadiliko makubwa kwanzia utambulisho wa team kiuchezaji
✍ na kufanikiwa kubadili viwango baadhi ya wachezaji kimsingi ni mtu sahihi kwa wakati sahihi ndani ya mahitaji ya Arsenal after 14 years Arteta anaturudisha Semi Final UCL msimu huo huo tukiwa tunapambani EPL pia Upward trajetory ya kocha
Amigos

USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
Arteta amekulia uko San Sebastian na kwa mujibu wa taarifa zake aliwahi kupata matatizo ya moyo akiwa na umri mdogo
tiktak