Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,351
- 2,786
Hizo bests of arsenal mara in attacking, scoring, defending hatukuziona....nusra tu za penaltyPorto kafanya nini??
Hizo bests of arsenal mara in attacking, scoring, defending hatukuziona....nusra tu za penaltyPorto kafanya nini??
Huyu kocha ana mdomo sana ,inatakiwa siku hiyo ni kuwapiga Pini ,piga msako sana ,
Erik Ten Hag after beating Liverpool YESTERDAY:
“At Arsenal, the fourth game of the season - we should have had a penalty in the 87th minute, we scored with Garnacho, disallowed. Then we concede a goal that should always have been disallowed.” 🥱 #afc
Bora Chelsea Huwa Wana turn up na wanaweza kukupa game ngumu, sio Hawa manjesta, Jana Liverpool walipoongoza 2-1 , wakawa wanacheza tu muda uishe ,walikuwa wanaweza kuwapiga hata goli zaidi ,
Huo ujinga Arsenal hatuna ,ukiingia kwenye mfumo tunakulamba za kutosha
Cheki wanavyoaacha manafasi halafu sio mara moja ,
Unahitaji pasi 1 had 3 kufika golini kwao
Kabla msimu haujaisha ,manjesta atapigwa 5-0 had 6-0
Bado Kuna timu zinafanya utani sana
View attachment 2938308

daahIzi gape pasi moja ya partey au Jorginho kwisha kabisaHuyu kocha ana mdomo sana ,inatakiwa siku hiyo ni kuwapiga Pini ,piga msako sana ,
Erik Ten Hag after beating Liverpool YESTERDAY:
“At Arsenal, the fourth game of the season - we should have had a penalty in the 87th minute, we scored with Garnacho, disallowed. Then we concede a goal that should always have been disallowed.” 🥱 #afc
Bora Chelsea Huwa Wana turn up na wanaweza kukupa game ngumu, sio Hawa manjesta, Jana Liverpool walipoongoza 2-1 , wakawa wanacheza tu muda uishe ,walikuwa wanaweza kuwapiga hata goli zaidi ,
Huo ujinga Arsenal hatuna ,ukiingia kwenye mfumo tunakulamba za kutosha
Cheki wanavyoaacha manafasi halafu sio mara moja ,
Unahitaji pasi 1 had 3 kufika golini kwao
Kabla msimu haujaisha ,manjesta atapigwa 5-0 had 6-0
Bado Kuna timu zinafanya utani sana
View attachment 2938308
Carlos cuesta ni kama kawa Assistant coach baada ya kuondoka Steve Round, maana Arteta alikuwa na wasaidizi wawili, so Cuesta siku hizi naona kasogezwa karibu zaidi, na huyu dogo atafika mbali akikaza nyonga cuz anapata details nyingi from the best wakati akiwa na umri mdogo.USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
"Who is Behind Mikel Arteta Revolution"
Tukiwa tunazungumza Mafanikio Arteta basi tusisahau kuna watu pia nyuma yake wanafanya kazi kubwa kwanzia mazoezini uko hawa si wengine ni Backstaff wake
Wapo wengi ila nitataja ambao wapo karibu zaidi nae Na majukumu yao
CARLOS CUETA: Huyu ni bwana mdogo sana miaka 28 tu ila coaching ability yake ni kubwa Arsenal walimtoa uko Juventus akiwa anafundisha U17 kabla hapo alikuwa Atletico madrid U17. Majukumu ya Cueta ni Kudeal na individual performances za wachezaji kuwatrain wachezaji kuelewa Tactical terms huyu ni Cueta
MIGUEL MORINA: huyu Arsenal ilimtoa uko Atletico Madrid ni mtaalamu wa mambo ya sayansi ya Michezo ( Sport science) majukumu yake ni analyst pia anafanya kazi kuwafanya wachezaji kuwa na high performances
ALBERT STUIVENBURG: Huyu ni kocha msaidizi Arteta na Mara nyingi anakuwa nae pale pembeni kwenye bench la ufundi, Uyu Arsenal ilimtoa uko Wales akiwa kocha msaidizi japo aliwahi kuwa kocha msaidizi Man united chini ya Van gaal baadae akaenda Genk beligium Na baadae Wales Kazi yake Mr Airpord uwa ni kuwasiliana na Backstaff wengine walio nje ya Bench kumpa views zao ili amfikishie Arteta ndio maana muda wote ana Airpord
INAKI CANA: Huyu Ni goalkeeping Coach Arsenal ilimtoa Brentford 2019 japo hapo kabla kapita vilabu kadhaa kwa kazi iyo iyo goal keeoing coach Kazi yake kuhakikisha makipa wetu wanakuwa trained kwenye ubora unaotakiwa kulingana na mahitaji mchezo Kawahi kufanya kazi na Raya Brentford ni moja watu waliopush sana Raya kusajiliwa
NICO JOVER: Huyu Arsenal walimtoa Man City Japo kawahi kufanya kazi Brentford pia Croatia national team huyu bwana kazi yake ni Kocha wa Mipira ya kutenga ( Set pieces) mfano kona, free kick, Penalt nk. Arsenal kwa sasa ndio team ina magoal mengi ya Kona ikipatikana Set pieces basi 75% kuwa goal kazi uyu kuwatrain wachezaji Sio kushambulia tu ata kukaba mipira kutenga
Amigos
Tutampiga vibaya sana round hii, acha apanie, aangalie sana hii Arsenal sio ya kupania kama huna quality. Mpira wa kukamiana ushapitwa na wakati. Tunauwezo wa ku control transition maybe we're the best in the world in this regard, wenzie wanatokagap hata shot on target hawana, hana mbinu Zaidi ya kuplay on the break, atatufanya nini mbwa huyu!Huyu jamaa Bado Arsenal inamsumbua akili kama mashabiki wake ,
Mechi ya Liverpool lakini anaizungumzia Arsenal,
Sijawahi ona kocha wa hivi
Kila mechi akishinda anadai atafunga yeyote , atadai alitakiwa aifunge Arsenal View attachment 2937943
Inaoneka kwenye mkataba wake aliambiwa ukiifunga Arsenal unaongezewa mkataba, jamaa badala apambine timu halina style, no identity, tactically flawed wanacheza tu ku survive afu anatuwaza km mashabiki yao kina flano.Huyu jamaa Bado Arsenal inamsumbua akili kama mashabiki wake ,
Mechi ya Liverpool lakini anaizungumzia Arsenal,
Sijawahi ona kocha wa hivi
Kila mechi akishinda anadai atafunga yeyote , atadai alitakiwa aifunge Arsenal View attachment 2937943
*apambaneInaoneka kwenye mkataba wake aliambiwa ukiifunga Arsenal unaongezewa mkataba, jamaa badala apambine timu halina style, no identity, tactically flawed wanacheza tu ku survive afu anatuwaza km mashabiki yao kina flano.
Porto waliweza kutuzuia tusitengeneze chances, lakini hata wao wametengeneza chances ngapi za magoli na wamefunga ngapi??Hizo bests of arsenal mara in attacking, scoring, defending hatukuziona....nusra tu za penalty
Porto waliweza kutuzuia tusitengeneze chances, lakini hata wao wametengeneza chances ngapi za magoli na wamefunga ngapi??
Kwanza approach ya UEFA hasa hatua za mtuano Huwa ni tofauti na kwenye ligi.
Man U mnaweza kucheza kama Porto?
Porto walikuwa hawaachi magape kwenye muundo wao, tofauti na nyinyi
Zile chances walizokosa liver, fikiria Arsenal anashambulia na wachezaji wa5
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Arsenal defender Gabriel withdraws from Brazil squad due to injury, Brazilian Federation announces on formal statement 
Ni kama Nunez na De Bruyne walivyojitoa..haya majeruhi yanaonekana ni ya mchongo...maana ukisomasoma unaona sababu kubwa ni precautionary....mwaka huu Kila kocha analinda bunduki zake kuelekea mwsho wa msimu maana hzi mechi za kirafiki hazina impact kubwa...mpk Sasa Tomiyasu, Benny White, Malgalhaes, Partey wte wanabaki Sobha Training Centre kuendelea na mazoezi𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Arsenal defender Gabriel withdraws from Brazil squad due to injury, Brazilian Federation announces on formal statement
Juventus defender Bremer, called to replace Gabriel.
Yaani kuongoza ligi kwa tofauti ya point moja na una contenders 2 nyuma yako mnajiona mnajua kuliko wenzenu, je mngekuwa na uhakika wa kucheza fainali ya FA kama manyumbu si ndio tusingekaa jukwaani kwenu sasa?
Punguzeni matumaini msijekujiua mwisho wa ligi hopers.
Msimu uliopita alikuw na mafanikio kuliko nyie nyani....style of playing, overlap hayo sio mafanikio wew tahira.Inaoneka kwenye mkataba wake aliambiwa ukiifunga Arsenal unaongezewa mkataba, jamaa badala apambine timu halina style, no identity, tactically flawed wanacheza tu ku survive afu anatuwaza km mashabiki yao kina flano.
NyumbuJana dakika kama 20 walikuwa Wana press , Liverpool wakifanya buildup inakuwa hivi ,ni vile Liverpool walifanya dharau wakawa wanajua mechi imeisha
Vs Arsenal ,7 hag atawadanganya Tena wa press hapo ndio kiama kitawakuta
Wakikaa nyuma maana yake wamesaliti mapambano wametuachia mpira tuwapige Sako la nyani
Wakivizia kaunta
Arsenal ni best team in the world kwa Rest defence
Wakipoteza mpira ,sekunde wamesharudi wote kwenye form ya 4-4-2
Hapo nyuma Kuna 4CBs , Hakuna natural Fullback hapo
White Saliba Magalhaês Kiwior
White Saliba Magalhaês Timber
White Saliba Magalhaês Tomiyasu
But Mikel vs man u anapenda kuwawekea
White Saliba Magalhaês Zinny,
Nyuma wanabaki mabeki watatu
White Saliba Magalhaês
Jorginho Zinny
Juu Ødegaard na Rice
Hawa umbwa wataita maji mmaView attachment 2938353
Nina ID moja tu humu aisee
Manjesta acheni kelele narudia tena


Masingeli acha uhuni, muandiko wako sisi wote tunaujua humu.
USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY ili kuvuta attention ya misukule ya humu.
Naona mkuu unamtembezea spana haswaa.Masingeli acha uhuni, muandiko wako sisi wote tunaujua humu.
Odegard ni ID yako mpya usilete ubishi, umeifungua juzijuzi tu hapo 19March2024.
Naona safari hii umeamua kuja na
USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY ili kuvuta attention ya misukule ya humu.
Sasa ndugu yangu Masingeli kila msimu utakua unakuja na ID mpya?
Punguza uoga ndugu yangu, Arsenyau mnatakiwa mjiamini, tena mtembee vifua mbele huku ukikutana na shabiki yoyote wa soka utambe na kuongea kwa sauti useme "Sisi ndio Ma-Bottlers wenyewe" View attachment 2938937