OFFICIAL
Klabu ya Arsenal imepokea uthibitisho kamili kutoka UEFA kuwa katika Mchezo wa hatua ya Robo fainali dhidi ya FC Bayern MĂĽnchen Uwanja mzima watatakiwa kuingia mashabiki wa klabu Yao tu, mashabiki wa Bayern MĂĽnchen hawataruhusiwa kuingia katika Uwanja huo wa Emirates kufuatia zuio la kuwasha mishawasho ya Moshi kwenye Mchezo dhidi ya FC Copenhagen na kuelekea kufungiwa kuingiza mashabiki katika michezo yote ya ugenini katika michezo ya UEFA Champions League .


Uwanja wa Arsenal utaingiza Mashabiki wapatao 60,000 ambao wote watakuwa wa Arsenal pekee.
View attachment 2937152