Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wazee hii michuano ya knockout ni migumu mno, na experience ndio kitu cha msingi, jana nimegundua kwamba olympiacos na sporting lisbon walitutoa kihalali, kwanza kipindi kile hatukuwa na quality depth pili hatukuwa na experience.

Timu ya kuiogopa nahisi itakuwa Intermilan, sababu KO ni transition based games, control haimake sense sana hapa, teams play on the break, lakini italian are more defensive + clinic, yote kabisa inzaghi is a tactical genius. Naomba intermilan wapite ili tupate the real taste of Champions league.
 
kuna inter milan au atletico umewahi kuwacheki na kuwaelewa namna wanavyojilinda? uefa ni michuano ya mabingwa ina namna yake ya kucheza tofauti na ligi.....arteta bado ni mwanafunzi kwenye hili.........
 
Kama umeangalia ile mechi jana Arsenal walicheza kwa discipline kubwa sana ndo maana kuna kipindi Porto walikuwa na possession kubwa ya mpira Arsenal wakawa wanavizia counter na hata goli walilofunga ndo ilikuwa the first shot on target...kwhyo watu wanajifunza kutokana na makosa...mechi ya ugenini tulitawala mechi ila tukafungwa....jana tulipokezana umiliki ila hatukuruhusu goli...msiishi kwa kukariri
 
kuna inter milan au atletico umewahi kuwacheki na kuwaelewa namna wanavyojilinda? uefa ni michuano ya mabingwa ina namna yake ya kucheza tofauti na ligi.....arteta bado ni mwanafunzi kwenye hili.........
Ndo mana nikasema katika timu zilizobaki atletico na inter ndo timu zinazopaki Basi na ndo zinaweza kumsumbua arteta
 
Usiwe na shaka Mkuu
Hawa nyau UEFA hawawezi kupata hata kwa ndumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…