Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukiachana na haters kutuwekea standards za kutotakiwa kutoa sare ukiachilia kufungwa, Kuna standard mpya wameanza kutuwekea ya tushinde kwa style ya kumpa mbinyo mpinzani hadi ashindwe kupumua
Siku hizi hata tukishinda na mpira mbovu pia tunasemwa. Tukishinda chini ya goli 3 tunaambiwa uwezo umeshuka.
 
Mtafute na yule kiherehere mwnzio Labyrinth 84 aje kuanza kutupa habari za false hopes na stats za wachezaji wake kina Gordon na Almiron
False hopers sina neno, hongera kwa kufika 1/4 after 14 years.
Sisi tunasubiri na tunajua mnatoka empty hands ni suala la muda tu. Tamba wewe kwa sasa.
 
Ukiachana na haters kutuwekea standards za kutotakiwa kutoa sare ukiachilia kufungwa, Kuna standard mpya wameanza kutuwekea ya tushinde kwa style ya kumpa mbinyo mpinzani hadi ashindwe kupumua
Haters wanazidi kuwa msaada kwetu, wametuwekea standard ambayo ata timu zao haijawai fika hizo standard
 
Me nimesema baada ya misimu kama 4, watu watakuja kusema KDB hamuwezi Odegard.

Watu wanaangalia takwimu na siyo influence ya mchezaji katika mchezo mzima, na takwimu zenyewe wanaangalia goals and assists tu basi
 
😂😂😂 Asante kwa maombi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…