Kevin hart acha kupanicMsimu huu salama yetu ni kushinda mechi kwa magoli mengi tu, maana PGMOL na VAR zao ni kama tuna ugomvi nao
Kevin hart acha kupanicMsimu huu salama yetu ni kushinda mechi kwa magoli mengi tu, maana PGMOL na VAR zao ni kama tuna ugomvi nao
Hata msimu uliopita kaokoa michomo ya hatari.. Lakini ana utoto mwingi sana tena kwenye mechi ambazo ni Integral kwenye mbio za ubingwa. Kitu ambacho hakivumiliki hata kidogo kwenye timu yenye njaa ya mafanikio kama Arsenal kwa sasa... Hapana aisee, Arteta mwanzoni sikumuelewa lakini Jamaa kumbe yupo serious sana kwenye strategies kuliko ninavyodhani.. Na ninakubalina na Thierry Henry kwamba Ramsdale ni kipa wa kukupa Top 4 sio ubingwa.Ameokoa mochomo ya hatari sana leo
Kai kwa upande wangu anatoa performance ya 7/10, kuna vitu vidogovidogo napenda aimprove kama kushuti, passing (vertical/ penetration) ,unyumbulifu nk, nimrate 8/10 na kuendeleaKai kaimprove.
Ana makosa lakini haushtuki akiscore.
Ana namba, goals na assists, ambazo zinamuweka kwenye mazungumzo na ambao ligi inawaona ni elites.
Nakumbuka kipindi ambacho tulikua tunasema Arteta ampige benchi jamaa na kumuingiza kikosini polepole kabla hajampa namba ya kudumu.
Ilikua akimuanzisha nakuja predict errors na anazifanya kweli. Ila siku hizi siwezi, jamaa kaimprove, kuna goli aliscore nikasema linahitaji utulivu na confidence and am sure confidence ndiyo imechangi improvement ya Kai
Thats penalty
Nadhani rodri alipewa penalty kama ile
Thats penalty
Nadhani rodri alipewa penalty kama ile
Man united vs Man city, first game nyumbu anakufa 3.https://youtu.be/U8PPkFS0Cbg?si=I12CTnbSOcmGLr8SThats penalty
Nadhani rodri alipewa penalty kama ile
Umetufananisha. Sisi ni friends of PortoMnaendeleaje huko wapiga kambi a.k.a friends of Brentford 🤠🤠🤠....uwanja unaofata ni pale Etihad...wale tutaenda kucheza nao kikubwa
Then pray for PortoUmetufananisha. Sisi ni friends of Porto
A very cold responseThen pray for PortoView attachment 2929921
We need to win this league man, we have toA perfect start to 2024 continues for Arsenal!
Only three other sides have won their first eight matches of a calendar year, and they each went on to win the league that season...
👹 Man Utd in 2009
🔴 Liverpool in 2020
🔵 Man City in 2021View attachment 2929931
Upo sahihi,Leo tumecheza mpira tofauti kabisa ,hatujampiga mpinzani ile Pini anakosa kupumua ,imetulazimu kupiga long balls kitu ambacho sio game yetuKusema ukwelli, we're vulnerable when Ramsdale starts between the sticks.
Angalia tukiwa nyuma na mpira namna tulivyoteseka leo, ni wazi unaona timu inakosa ile build up tuliyokua tukiitegemea.
Baadhi wanaweza sema Ramsdale ni shot stopper mzuri kuliko Raya, which is true, but football nowdays inamuhitaji GK afanye vitu vingi, na hapo ndio tunaona mapungufu ya Ramsdale.
Ni rahisi kumwambia Raya asogee nje ya boksi acheze kama extra CB, not to mention sweeping and distribution kuliko Rams, na hivi ndio vitu vinavyotupa quality msimu huu.
Leo turnovers zilikua nyingi kwetu kwa sababu Ramsdale alikua uncomfortable kuanza build up nyuma, matokeo yake akawa analazimika kucheza long balls, na ndio Brentford walivyokua wakitaka kwa sababu wanajua Rams is not good with the feet.
Rams ni backup GK mzuri, najua hawezi kubaki mwisho wa msimu kama ataendelea kukaa benchi.. Either way, tutaendelea kumsapoti.

️ Arteta: "What I like about David Raya is what he does in goal - the things he prevents us from, you don’t even see because they don’t happen, because he has anticipated them".