United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,237
- 6,604
watoto wanawasakama
Kwa dakika zilizo Baki tunatafuta points 3 muhimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] zinapungua tena na kuwa 3?
Si tulikubaliana humu kuwa Brentford leo nae anapigwa kono la nyani?
Na ukileta mchezo unaachwa mapema sana maana Game ijayo unacheza na CitySiku ya kufa nyani miti yote uteleza
maisha yamekufanyeje wew kesho omba city asishinde maana akishinda na akaja kukufunga na wew game ijayo bai bai iyooo mzee tukutane next seasonHaya maisha aya..