Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

90+1'

Mmoja wa wachezaji wa Arsenal yuko kwenye goli lakini ananyanyuliwa na beki kwenye eneo la hatari. Hiyo inaweza kuwa adhabu, lakini refa inasema HAPANA! Mchezo unaendelea.
 
90+3'

Baada ya ukaguzi wa VAR, mwamuzi ataashiria HAKUNA ADHABU, mchezo unaweza kuendelea.
 
Kipindi cha nyuma kulipokuwa na debate kali kwanini Arteta amemuacha Ramsdale na kumuamini Raya. Thierry Henry alisema alinukuliwa akisema Ramsdale ni kipa wa kukupa Top 4 lakini Raya anaweza kukupa ubingwa, na Arteta amegundua hilo na anaheshimu maamuzi yake.. Nilishindwa kumuelewa lakini taratibu naanza kumuelewa.
 
Cojones
images(4).jpeg
images(3).jpeg
 
Ameokoa mochomo ya hatari sana leo
Ukimsikiliza Arteta anavyomuongelea Raya namna anavyoleta utulivu pale nyuma ndo utaelewa kwnn leo walikuwa kama hawajatulia kidogo...Ramsdale huwa kama ana wenge hivi...na hii inapelekea kusababisha makosa na kwa wengine then tunafungwa...yule Aondoke aisee hatumtaki🤠🤠🤠...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom