Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu Ramsdale atatu cost ubingwa kwa ufala wake.
images (34).jpeg
 
benchi linaozesha sana wachezaji.. ramsdale amekua na mchezo mzuri ila boko alilotoa limetia doa kidg.. bado naamini ni GK mzuri kubaki nae.
 
benchi linaozesha sana wachezaji.. ramsdale amekua na mchezo mzuri ila boko alilotoa limetia doa kidg.. bado naamini ni GK mzuri kubaki nae.
Hizi kauli kwa sasa big team kama Arsenal ambayo inapambania EPL trophy [emoji471] haitakiwi kutamkwa na Fans hujui ni jinsi gani ataicost team kama result itakuwa hivi
 
Hivi Rambo anatutafuta Nini sisi fans?

Ili ku-neutralise Boko la Rambo, inapigi apigwe mkono huyu kima
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii game AsaniNyau akishinda anajihakikishia kukaa nafasi ya pili kwa muda, ila kwa nnavyowajua hawa wazee wa false hopes game muhimu kama hii ataishia ku draw au anaweza kubondwa kabisa.
Wissa tayari ameshafungua mlango, kipindi cha pili Toney lazima afanye maangamizi.
 
Kula pira bilian hapo, Brentford anakufa chuma 3 safi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] zinapungua tena na kuwa 3?
Si tulikubaliana humu kuwa Brentford leo nae anapigwa kono la nyani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom