Oh Fergie dictator,Wenger yuko friendly na wachezaji hayo ndio matokeo

Tukubali kuwa ujuzi wa Wenger umefikia mwisho hawezi tena kuimprove. Hopefully he'll b sucked soon and very soon!

<br / Arsen Wenger ana timu nzuri, lakini amepoteza umakini na kujiamini. Usajili aliofanya hakufanya upembuzi yakinifu. Mertesacker hatoperform vizuri na Vermaelen sababu wote ni No. 5 hakuna wa kumtuma mwenzie, wote wanaweza kucheza vema na Konscienly (No. 4 bora so far Arsenal). Arteta hajaprove kama ni usajili wa maana, bado hajaisaidia timu. Anaweza kuwa mchezaji bora Everton na sio Arsenal. Frimpong muhimu sana kikosini kwani ni mwenye uwezo mkubwa sana wa kusaidia defence. Walcot angekuwa Man U angeshauzwa siku nyingi tu. Kiwango chake kimedumaa, anacheza game 1 vizuri anaboronga 10. Nimemsahau Santos, ataiweza premier? Mtamkumbuka kiraka Eboue, hakukuwa na sababu ya kuuzwa. USAJILI WA KUKURUPUKA HAUKUENDANA NA MAHITAJI HALISI YA TIMU.

The Wenger Years - Overview

How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch

Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.

Timu sio mbaya ila mfano ManU wakishinda kesho tutakuwa nyuma kwa pointi 11, hizo ni nyingi mno hata kama ligi bado ni changa, tunahitaji consistence ya kushinda mechi mfululizo na huku tukijitahidi na clean sheets ili kuweka balance ya goals difference, katika mechi 5 tumepoteza 3, hii rekodi inasumbua kichwa. Na ukiangalia overall performance hususan difensi yetu katika mechi zote nahisi tatizo bado ni kubwa. Tunahitaji marekebisho haraka.League bado mbichi, naamini tuna mechi 2 nyingine za kuzoeana na kufahamiana, wengi wapya msimu huu! Kiujumla timu siyo mbaya kivile!

Hizo sababu za hapo mwisho mkuu ndio zinamfanya Wenger abebeshwe lawama. I hope atafatisha maoni yako mapema.

Tuko pamoja.
Hapo kwenye red unasahau kuwa wanaperform vizuri ili wawavutie hopefully future employers a la Cesc. Sasa leo hii huwezi kuwadindishia Blackburn wakati ata kukuafford hawawezi....nice one Belo, hilo ni tatizo mojawapo ambalo wapenzi na washabiki wa arsenal wanamlaumu sana manager.
lakini je, hiyo ni sababu ya kumfukuza manager wa status kama wenger? who shall replace him ambaye
anaweza fanya kazi kwenye structure ya wages kiduchu kwa wachezaji?
hivi, mnaifananisha arsenal na team zenye ma sugar daddies wanaowapelekesha kina mancini, andre boas, ambao wote wamekalia kuti kavu?
cum on guys, patience pays....competition kwenye epl kwa sasa ni pesa, japo hakuna excuse ya ku draw au kufungwa na team 'dhaifu' kama blackburn, birmingham et al isipokuwa kwa wachezaji wenyewe wanaoweza wadindia kina Barcelona, Borussia Dortmund etc...!
Mkuu sasa katika hizo mechi mbili za kuzoeana ukipoteza zote utakuwa ushafungwa mechi 5 kati ya 7 na hapo hujakutana na vigogo wengine huoni hiyo ni hatari?League bado mbichi, naamini tuna mechi 2 nyingine za kuzoeana na kufahamiana, wengi wapya msimu huu! Kiujumla timu siyo mbaya kivile!
mkuu league ni mechi 38, hata hivyo timu si ya msimu mmoja maisha yanaendeleaMkuu sasa katika hizo mechi mbili za kuzoeana ukipoteza zote utakuwa ushafungwa mechi 5 kati ya 7 na hapo hujakutana na vigogo wengine huoni hiyo ni hatari?
Gunners self-destruct
Arsenal self-destructed in a terrible second-half display against Blackburn to leave manager Arsene Wenger once more in the firing line.
http://soccernet.espn.go.com/gamecast/_/id/318194?cc=5739
Arsenal's players stand dejected after they concede a third goal