Ndio mnagundua leo. Liverpool tunao watano pia wana 10 + goals contributionArsenal now have FIVE players with 10+ goal contributions in the Premier League this season, more than any other team.
Bukayo Saka (21) — 13G + 8A
Martin Ødegaard (12) — 6G + 6A
Declan Rice (10) — 5G + 5A
Gabriel Martinelli (10) — 6G + 4A
Kai Havertz (10) — 7G + 3A
COOKING.
Badala umuwazie brentfordLiver na city 1-1
Be back...Sheffield United 2 - 1 Arsenal
Mark this post I'll be back
Tuna beki ana magoli mengi pia. Mnaye?Ndio mnagundua leo. Liverpool tunao watano pia wana 10 + goals contribution
Tuna beki ambaye alibakia kura sita tu abebe mchezaji bora wa ulaya vipi mnaye?Tuna beki ana magoli mengi pia. Mnaye?
Tukisema tuangalie msimu huu nani kabebwa na marefa kati ya sisi na nyie mtaona aibu tu. Kama marefa wangekuwa fair kwenu saivi tungekuwa tumewaacha alama sitaMarefa wa EPL inabidi wachunguzwe, neno "human error" lisitumike tena. Wanatumia technologia ya juu, why should be there a human error?
Adhabu za marefa wanaonyesha udhaifu shouldn't be a one match suspension otherwise, hii kitu haitaisha. Paul Tierney na timu yake walifanya makusudi kuwabeba Liverpool
Kipindi hicho tulimjibu kuwa hatuna hao strikers wa magoli mengi ila ukiangalia kwa timu nzima bado tunafunga magoli mengi. Kwa kugawana magoli unakuta hata mabeki wetu wana magoli kuliko baadhi ya washambuliaji kama kina Antony Masebene.
Huyo beki wenu tunamkubali sana.Tuna beki ambaye alibakia kura sita tu abebe mchezaji bora wa ulaya vipi mnaye?
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Tulileta huruma kama kawaida yetu.Dk ya 58 tuna goli 6.
Naamini muda uliobaki unatosha kuongeza magoli zaidi. Kama tuna chance ya kushinda nyingi lets just do that
Mlimloga Alisson wajinga nyieHuyo beki wenu tunamkubali sana.
Tunamshukuru pia kwa kutukumbuka tunavyomkubali kwa kushirikiana na kipa wenu kutupa assist ile mechi tuliyowafunga na kutusaidia kupambana kubaki kwenye mashindano hadi sasa.
Ukiweka ushabiki na utani pembeni aisee jamaa ni BEAST. Sijui mngekuwa wapi bila VVD. Mngekuwa Newcastle aliyechangamka.
Bahati nzuri kidogo tuliyopata hapo ni kuwa huyo wa kwanza katika mechi zake mbili alizopoteza, moja tulimuua sisi wenyewe. Wapili naye kwenye mechi zake 3, moja tulimuua sisi wenyewe. Hawa jamaa hawafungiki kirahisi ila sisi tulizembea kukubali kufungwa na timu ambazo kikawaida tulipaswa kuwafunga. Bahati nzuri tuliweza kulipiza kisasi kwa West Ham na Newcastle ila mtu kama Fulham alitutoroka maana tayari alishapata sare. Tuombe tuendelee kupiga kila ajaye hivi hivi.Upo sahihi na haupo sahihi pia.
Wa kwanza kapoteza 2 wa pili kapoteza 3 wa tatu kapoteza 4 ila ukiangalia points ni tunahitaji wa juu wasuluhu tu then sisi tushinde.
Changamoto ya zile loss zetu ni kufanya mzigo wetu kua mgumu zaidi ila siyo kwamba all is lost

Jana nilisema kabla ya mechi zile habari za nne nne kwenda juu zipo palepale ndugu zetu🤠🤠...Sasa kwa Hawa Brentford kwakuwa Wana mwanajumuiya mwenzetu wa East Africa Community bwana Wissa a.k.a mkata mauno kutoka Congo...sisi kama ndugu zake kwny jumuiya tutamhufadhia heshima yake....chuma tatu zitawatosha....na watapata on target moja tu mechi nzima🤠🤠...karibuni Imarate Jumamosi tuje kusheherekea kilele cha TetaballBadala umuwazie brentford