Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Partey on instagram.
Screenshot_20240304-135844.png
 
Nina theory:

Premier league na FA wanapenda 'stories za legacy', je kuna uwezekano wakatamani kumsaidia Klopp ashinde ligi kama wanavyojitahidigi kutuminya sisi tusishinde?
 
Fiksi
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu, sisi tuendelee kushinda mechi zetu.
 
Najua sisi tunapenda kuharibu wakati mbovu. Mashabiki wanategemea tushinde halafu sisi tunaleta masihara. Leo tusifanye huo ujinga. Sheffield anapambana asishuke daraja ila siyo kazi yetu sisi kumhurumia na kumsaidia kupata points kama tulivyofanya kwa kina Southampton msimu jana halafu matokeo yake sisi tukaumia na wahuni wengine wakawabonda na kuwashusha vile vile.
Tuwapige hawa jamaa na tuwapige kipigo kizito
 
No mercy.
 
Yule mhuni aliewabeba kuku juzi tutakua nae weekend kwenye VAR

✍🏾Paul Tierney will not referee a Premier League game this weekend and will instead act as VAR for Arsenal vs Brentford.
 
🤣🤣🤣 pia sio kama tunawatisha hapana, wakati jana mkishangilia ushindi wa Mancity kule Ureno Fc Porto nae alikua anafanya mauaji ya kimbari dhidi ya Benfica.
 
Attachments

  • 1709573599336.jpg
    1709573599336.jpg
    264.4 KB · Views: 7
Nina theory:

Premier league na FA wanapenda 'stories za legacy', je kuna uwezekano wakatamani kumsaidia Klopp ashinde ligi kama wanavyojitahidigi kutuminya sisi tusishinde?

The greatest myth in the world since the death of John F. Kennedy.
 
Yule mhuni aliewabeba kuku juzi tutakua nae weekend kwenye VAR

✍🏾Paul Tierney will not referee a Premier League game this weekend and will instead act as VAR for Arsenal vs Brentford.

You did the same to Luton just remind yourself.
Jealous when the extra time favoured Liverpool but if it is on your side you're acting like nothing happened.

Hypocrisy
 
Back
Top Bottom