Nadhani tumezoea kuonewa na kupunjwa na PGMOL so tumeadopt scattergun approach. Sasa tunajaribu kufanga magoli mengi ili hata tukikataliwa machache au wapinzani wakibebwa na kutufunga (kumbuka Newcastle) bado tushinde mechi 😀😀😀

Ilikua muhimu kuingia wapate match fitness, ndo maana unaona hawakua sharp ila wataimprove mechi zijazoHuyu Partey na Jesus bora wasingeingia tu, hawa ndio wamepunguza ushindi
Kale kamezidi kuweka mguu Kila sehemu...kuna mechi ukishaona umetangulia migoli mingi kuna mipira ya hatari huingii hovyohovyo...kenyewe kanaenda tu...katakaa nje mwezi sasaWashamdhuru Martinelli. Tuombe lisiwe tatizo kubwa.
Hiyo fezi foo si mtakua kama Shaolin soccer Sasa😂Tupo fezi siriii...hatujafika fezi foo bado🤠🤠
Hiki kinachotendeka Sasa hakikubaliki...ni kufanya watu wasiende uwanjani🤠🤠🤠...sio uanamichezo kabisaHiyo fezi foo si mtakua kama Shaolin soccer Sasa😂
Yuko overcommitted. Ila najaribu kutokuwa na wasiwasi. Mechi ijayo atakuwepo. Mwache apumzike kidogo kwanzaKale kamezidi kuweka mguu Kila sehemu...kuna mechi ukishaona umetangulia migoli mingi kuna mipira ya hatari huingii hovyohovyo...kenyewe kanaenda tu...katakaa nje mwezi sasa
Msimu jana tulifunga magoli 88. Tuliruhusu 43, GD tukamaliza na 45.Arsenal now have FIVE players with 10+ goal contributions in the Premier League this season, more than any other team.
Bukayo Saka (21) — 13G + 8A
Martin Ødegaard (12) — 6G + 6A
Declan Rice (10) — 5G + 5A
Gabriel Martinelli (10) — 6G + 4A
Kai Havertz (10) — 7G + 3A
COOKING.
Nyie ile mechi ya Nottingham si mlicheza na refa?
Labyrinth 84 is just a bitter, angry and fvcked up ex.Commentator kasema '5 goals and no one has scored twice'.
Nakumbuka Labyrinth alikuwa anawalinganisha kina Wilson, Isak na Gordon na kina Jesus, Saka na Martinelli. Jesus hajacheza mechi kadhaa lakini mpaka sasa tuna magoli 66 au 67, wao wana 57.
Mpaka sasa sisi ndiyo tumefunga magoli mengi zaidi kwenye ligi, huku tukiwa ndiyo timu iliyofungwa magoli machache kwenye ligi, 23. Necastle wameruhusu magoli 45 mpaka sasa, magoli 6 zaidi ya Man United.
Commentator pia kasema premierl league record ya magoli mengi kwenye first half ni 5. Sisi ni team ya 14 kufanya hivyo. 6 haijawahi kufikiwa ila anadhani kama wachezaji wetu wangelijua hili wangetafuta la 6.
Upo sahihi na haupo sahihi pia.Sisi wajinga sana mkuu. Tumeshapoteza mechi 4 so far. Ni ngumu kushinda ligi ukishapoteza mechi zaidi ya 3.
Naona ni muhimu kuendeleza hii momentum. Tukishinda ligi, safi ila tusiposhinda basi tusizidiwe zaidi ya points 2. Hii ikiweza kutuhamasisha kama ilivyowahamasisha 'Invincibles' basi tunaweza kuwa na msimu mzuri next season.
Kwa sasa tuendelee kupambana tuone hii ngoma itaishaje.