Commentator kasema '5 goals and no one has scored twice'.
Nakumbuka Labyrinth alikuwa anawalinganisha kina Wilson, Isak na Gordon na kina Jesus, Saka na Martinelli. Jesus hajacheza mechi kadhaa lakini mpaka sasa tuna magoli 66 au 67, wao wana 57.
Mpaka sasa sisi ndiyo tumefunga magoli mengi zaidi kwenye ligi, huku tukiwa ndiyo timu iliyofungwa magoli machache kwenye ligi, 23. Necastle wameruhusu magoli 45 mpaka sasa, magoli 6 zaidi ya Man United.
Commentator pia kasema premierl league record ya magoli mengi kwenye first half ni 5. Sisi ni team ya 14 kufanya hivyo. 6 haijawahi kufikiwa ila anadhani kama wachezaji wetu wangelijua hili wangetafuta la 6.