Hakuna excuse, ila makosa yetu wenyewe na wa kubeba lawama ni Wenger kwa kushindwa kubadili tactics, hivi ndio hakuna plan B kwa Professa? Mfano nilishangaa kuona akimtowa Andre na sio Gervinho? Andre leo gemu ilimkubali na alikuwa anawasumbua sana difensi ya Blackburn, nahisi kama angebakia na kuingia Theo na kucheza kama 2nd striker kwa staili ya 4-4-2, kwa sababu kwa mtindo wa 4-3-3 na mido 3 jamaa walikuwa wanakatiza sana pale kati na tatizo hili ni hata ile mechi ya ManU.
Mikel yuko poa ila Aaron pamoja na kuwa ni mzuri lakini hayuko creative na gemu yake huwa hawezi kusaidia difensi mfano wa Jack. Kwa nini AW kwa muda huu kwa vile tumewakosa Jack na TV5 asibadilike na tukacheza 4 in the middle ili kuwapa extra security difensi yetu?
Anyway Professa ndio anajua ila kuachia mabao 14 katika mechi 5 sio mchezo, tunaongoza katika ligi kwa rekodi ambayo sio familia kwetu kwa kufungwa mabao mengi. Wenger lazima aamke sasa ili kuunusuru msimu wetu.
Matatizo yetu makubwa ni mawili:
1. Difensi yetu inasumbuka kwenye kona na free-kick na hii ni dhahiri kutokana na idadi nyingi ya mabao ambayo tumefungwa ni aidha kona ama free-kicks, ukiachilia hii mpya ya leo ya kujifunga. Kwa kumkosa TV5 hakuna calm influence kwa CB zetu, Per bado hajachanganya na Djourou na Koscielny ni ajali tupu, hawakawii ku-panick.
2. Mido yetu ni nyepesi - kuondoka kwa Samir na Cesc na ukichanganya na majeruhi ya Jack tumebaki watupu hapa kati, Mikel ni ongezeko zuri ila bado jukumu la ku-supply zile service kwa RVP in zito kwake. Aaron pamoja na uzuri wake ameshindwa kupeleka service kikawaida ingawa namsifu sana kwa pasi yake kwa Mikel iliyotupatia bao la pili.
kabisa mkuu statistics zinajieleza 23 shots, 13 corners, 69% possession na mabao 2 ya kujifunga? Hii inadhihirisha wazi kwamba tulikontroo mechi na bado tumeishia kufungwa, sijui ndio bundi kahamia kwetu mwaka huu daah!!

Mie najiuliza kwanini tunachanganyikiwa kirahisi sana? Kama tunajua hatuwezi kutuliza akili tukiwa under pressure bora kutumia vizuri nafasi tunazo pata hili kuwa katisha tamaa wapinzani.
Timu inapoona goal difference ni moja tu inakuwa na nguvu ya kusawazisha na sisi hapo ndio tunaanza kuchanganyikiwa na kupoteza muelekeo kabisa.
Makosa ni yale yale kila siku na kama ulivyosema Wenger anahitaji plan B na awe sharp kusoma game hili aweze kufanya mabadiliko yanayofaa wakati muafaka .
Napenda Mbu na AW mnavojibizana kwa hoja, i wish na sie wengine tuige hii kitu, of coz mara moja moja...
Back to Matani: Weeeee mosquito net a.k.a Mbu...mbn hujibu hoja zangu?, au niko ktk ignore list yako? BTW ulifika salama jana?
kabisa mkuu statistics zinajieleza 23 shots, 13 corners, 69% possession na mabao 2 ya kujifunga? Hii inadhihirisha wazi kwamba tulikontroo mechi na bado tumeishia kufungwa, sijui ndio bundi kahamia kwetu mwaka huu daah!!
...hahaha...mtani niliijibu mbona kule kule kwa teamo mchana huu?...nimefika salama bro...
nikirudia jibu, soulmate atakuletea ile zawadi,...nitampa maelekezo...kwangu muda haukunitosha
majukumu yalinizidi bana..ukichanganya na foleni namgao basi aarrghhhh...
...kweli, na arsene wenger analysis mnayo wenyewe hapo jamani, gaffer aka le professeur, au mtaalamu arsene wenger analaumika kwa lipi hapo sasa?
hebu ifike wakati tuwalaumu wachezaji jamani.... kama umaliziaji ni mbaya baada ya possessions zote hizo, shots zote hizo, ...kocha analaumika kwa lipi? au yeye ndio mfungaji pia? the tactics are right, preparations are right, usajili ulikuwa makini, ...mimi naamini hata tungemsajili top goal scorer, bado matokeo yangekuwa hayohayo...
bado sijaona udhaifu wa team ila umaliziaji....tuwe realistics kidogo,....umaliziaji ndio unatuangusha arsenal na hili
hata arsene mwenyewe huwa anali address mara kwa mara, we dont kill the games....
kazi ya manager siku zote ni kuandaa tactics na wachezaji,....wakishaingia uwanjani, manager anabakia kama sisi washabiki
...kusubiria wachezaji kumi na moja wa deliver the results...

Uzembe tu watoto hao wacha waazibiwe kwanza yaani timu inachezea shilingi chooni halafu ikidumbikia analia ..............leo ni kosa la wenger kama manager sielewi kwanini B'youn, walcott, gibbs walikua nje.
Pole yangu iwafilkie Mbu,AW, kweli n Co. NB: WACHA timu itakurudishia gharama za usafiri ..............
Well nilipata ugeni hivyo sikuweza kuwa online, baada ya kuangalia mechi tena on the second time - recorded naona hatuna tatizo kubwa ki-vile wengi wanavyofikiri, blackburn walipata some breaks ambazo zimewasaidia kushinda mechi ya leo, goli lao la tatu lilikuwa la kuotea moto na sisi Walcott amenyimwa penalty ambayo ni clear.
Tatizo la midfield na defence tunawa-miss sana T5 na Jack, I hope they will be back soon. Bado EPL mechi ni nyingi tutamaliza kwa kishindo.
<br />kabisa mkuu statistics zinajieleza <b><font color="#ff0000">23 </font></b>shots, <b><font color="#ff0000">13 </font></b>corners, <font color="#ff0000"><b>69%</b></font> possession na mabao <b><font color="#ff0000">2 </font></b>ya kujifunga? Hii inadhihirisha wazi kwamba tulikontroo mechi na bado tumeishia kufungwa, sijui ndio bundi kahamia kwetu mwaka huu daah!!
Hahahahaha! wapi wacha kaboy?, naona anapiga chabo kwa mbaliiiiiiii!!!?.....khekheeeeeeee!
Cesc, Nasri na Clinchy wanafurahi sana leo
Msimu huu utakuwa mrefu sana, mbaya zaidi ndio kwanza umeanza.
<br />
<br />
. Salama kwakwe abadilike, awe mkali, asiruhusu uzembe apige watu bench ili wajifunze etc
Tukubali kuwa ujuzi wa Wenger umefikia mwisho hawezi tena kuimprove. Hopefully he'll b sucked soon and very soon!