Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwangu mm binafsi yule ambaye atakuwa dhaifu apigwe hata Wiki au hata goli 8...na wte hapa tunajua dhaifu ni nani kwakwli๐Ÿค ๐Ÿค 
Unataka kumpa mamacita hiyo GD yote kwa kweli? Acha ashinde 1-0 tu. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Mykhailo Mudryk was in tears on the phone to Arsenal asking them to do something as he was on his way to the airport. (@Teamnewsandtix following on from @TheAthleticFC report on the Mudryk collapsed transfer to Arsenal) #CFC

Huyu dogo tutaenda kumchukua kwa mkopo
 
Kwamba Chelsea ili kumfosi Mudryk kwenda darajani ikabidi wacheze mechi ya kirafiki na Shakhtar Donetsk.

Kisha Mudryk akapiga simu Arsenal huku analia.

. . .
 
. . .
 
. . .
 
Tumeishia wapi kwa Mudryk kua hatari nyingine hapo chelsea?
 
Pastor Timber is back ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐ŸพView attachment 2919354
Huyu Sasa awekwe nje...tuna mechi na Man City baada ya Porto...hyo ndo itamfaa...hzi zingine aachiwe Kiwior na Tomiyasu wamalizane nazo๐Ÿค ๐Ÿค ...Haina haja ya kuonea watu halafu tukaja kuonekana tuna roho mbaya...sio utamaduni wetu
 
Unataka kumpa mamacita hiyo GD yote kwa kweli? Acha ashinde 1-0 tu. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Mm hata ashinde 15...sina shida naye maana najua hawezi kumaliza juu yetu...huo ubavu msimu huu Hana ๐Ÿค ๐Ÿค ...kwhyo Manunu liwakute jambo ziti kwakwli hii weekend
 
Huyu Sasa awekwe nje...tuna mechi na Man City baada ya Porto...hyo ndo itamfaa...hzi zingine aachiwe Kiwior na Tomiyasu wamalizane nazo๐Ÿค ๐Ÿค ...Haina haja ya kuonea watu halafu tukaja kuonekana tuna roho mbaya...sio utamaduni wetu
Ila itabidi awe anaingia hata dk za 80 ili apate match fitness
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ