Mjusi_kafir
JF-Expert Member
- Dec 4, 2023
- 296
- 513
.Hio westham wewe umeifunga lini? Imekutoa carabao . Hao hao farmers league ulikufa kwa timu inashika nafasi ya 8 huko.
Arsenal nyinyi ni false hopers na kama unataka kuamini hili tusubiri muda ndo utasema vizuriii.
Game na Newcastle humu mwanangu gordon alifanya humu matusi yawe mengi sana ila ndo ivyo mshasahau kama mtakavyosahau ubingwa.
.Wewe ndo hata sijuiii unaongea ninikipindi kipi icho arsenal imecheza bila saka sijuii odergard sijuii martineli .
Newcastle ina zaidi ya 12 injuries player wewe unataja injuries za game moja moja.
Hao wachezaji unaowataja sijui martineli sijui saka wote hao nitajie mchezaji alimyezidi tu gordon magoli achana na isak na wilson.
Timu nzima Hamna mchezaji mwenye goal nyingi kumshinda gordon tu.
Ndo nilichokuambia arsenal kitu pekee unachojivunia ni kukaa hio nafaso uliyopo ambayo technicaly unapasha joto tu kiti cha watu hapo.
Wachezaj 7 wa Nyukesto wanaanza kwenye kosi la Kwanza La Arsenal vichekesho kama hivi sikuiz havipoWanaweza kufika hata 7 ki statistics? View attachment 2837037
Nakukumbusha tu si kwa ubaya lakinihumu ndani matusi yalitawala
Lete tenaTulikua tunaongelea player comparison sasa unaleta habari za total goals tena
Anyway arsenal mpaka sasa mna goal scored 33 na mmefungwa 14
Newcastle tuna goals 32 then conceded goals 17.
Naona kwenye individual players umeamua kukimbia
Kuna mwenzako humu humu alikataza nisiwe na mquoteinamletea trauma, alikua analeta maneno matupu then mimi naleta ushahidi mezani mwisho wa siku akawaka matusi kibao .
Nikuulize mpaka sasa tunavyoongea saka kamzidi nini gordon ? Kitu pekee saka alichomzidi gordon ni dakika za kucheza tu View attachment 2837080
Vitu pekee saka kamzidi gordon ni dakika za kucheza na error leading to goal.
Nitajie saka kamzidi nini gordon mpaka tunavyoongea hapa
.Huyo Mwehu wa Newcastle mnayepigizana nae kelele anawapotezea muda aisee
Alidai wao wana timu Bora ,mbona UCL wanshika mkia kwenye Ligi wanachezea vipigo
Sasa kelele zake zinatokea wapi,?
Wiki Hii wanaenda kupigwa na AC Milan hawaend hata UCL ,ili kelele ziishe humu
.Waue waue. Hapo kwenye data hapo mkuu ndo hawapendi kabisa kusikia. Waoige za tumboni, uso uache.
Waumize hawa makondoo
Wanamchulia poa sana.
Wanamchulia poa sana.
Halima Gwaya 80....
Wakwende zao, tunataka 100Rolls royceView attachment 2918566
Wamedata nini? Leta 110 tuanze maongeziKipimia umriView attachment 2918569
Huyu jamaa 🙁🙁 Ghanaian Santi CazorlaMartin Ødegaard on “who makes team better”
“I’ll say Thomas Partey, he gives me and the other players a lot of freedom…”
.
.
Arteta ; “we play better with Thomas Partey”
.
.
.
Fully fit Thomas Partey walks straight into the starting X
Maji wataita mmaView attachment 2918575
Naomba uwakumbushe Manunu jana Man City walikuwa wanafanya rehearsal ya weekend🤠🤠...sisi tutakuwa tupo pembeni tunakula bisi huku tunaangalia ugomvi wa vijana wa mtaa mmojaHuyu jamaa 🙁🙁 Ghanaian Santi Cazorla
Tuwaache manyumbu wapambane na hali yao. Wakishinda watampunguza spidi kidogo mamacita. Wakifungwa wataanza kupotezwa mdogo mdogo kwenye kupambania top 4 na top 6. Waamue wenyewe wanataka nini 😄😄Naomba uwakumbushe Manunu jana Man City walikuwa wanafanya rehearsal ya weekend🤠🤠...sisi tutakuwa tupo pembeni tunakula bisi huku tunaangalia ugomvi wa vijana wa mtaa mmoja