Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Halafu tunawakumbusha tu...No Partey...No Jesus...No Tomiyasu...No Vieira...No Timber...ila no problem🤠🤠... Zinchenko kuanzia leo ataliwa anagombea namba na Raya na Ramsdale...Timber wamuweke asirudi tena mpk msimu ujao....wapinzani wasije wakasema tuna gubu bure
Hatari Mkuu

Maombi yangu tubebe hiki Kikombe cha EPL Mwaka huu.

Nataka niangushe Mbuzi kadhaa kushangilia ushindi 💪🤗
 
Nadhani wanaendelea kulifanyia kazi

Miaka yote forward za Arsenal huwa zinakosa umakini pale mbele.

Unakumbuka Emmanuel Adebayo akiwa Emirates....anapewa pasi za magori 18 alafu anafunga 1 ama 2 tu 😜
Tumshukuru sana Fabregas kwa kutokuchoka kumtengenezea jamaa nafasi 😃😄
 
Arsenal kiboko ya mabishoo na watoto mchele mchele

City ameshatugea points 3, bado 3

Kenge wametuchqngia points 4

Nyumbu ameshatugea points 3 bado 3. Must

Liverpunda kaachia points 4
 
4-1 vs. Newcastle United

0-5 vs. Burnley

0-6 vs. West Ham

3-1 vs. Liverpool

1-2 vs. Nottingham Forest

5-0 vs. Crystal Palace

SIX straight wins in the Premier League for Arsenal in 2024.


FIMBO bado zinaendelea
ni kama mbio za mwenge kila kitongoji utapita
 
Kwa hapa tulipo tutakosea tukiamini kwamba Timber akipona tu ataanza kikosi cha kwanza. Kiwior tangu awekwe kama traditional LB amezidi kuimarika, nafikiri haitakua rahisi kwa Timber/ Tomiyasu.

Hii ni habari mbaya ndiyo ila siyo kwetu hii ni habari mbaya kwa wapinzani. Kama timu ina squad depth ya kutosha ni faida.

So tukae pembeni tuone ushindani wa namba utavyokua
Saliba ataliwa anapumzika...tunamtumia sana...mbadala wa Saliba atakuwa kijana Timber🤠🤠🤠...
 
Back
Top Bottom