Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,820
- 57,359
Siku hiyo nitanunua Mbuzi wa kutosha then niwaalike Members waje tuchome, kula na KunywaHuu mwendo ni mzuri, tusipotetereka tunaweza kunyanyua kwapa msimu huu.
Kwani shi-ngapi 😅
Siku hiyo nitanunua Mbuzi wa kutosha then niwaalike Members waje tuchome, kula na KunywaHuu mwendo ni mzuri, tusipotetereka tunaweza kunyanyua kwapa msimu huu.
Wadeni wetu wote wanastahili goli kuanzia 3 kwenda juuWest ham 6
Newcastle 4
Astonvilla sijui atakula ngapi ila anapaswa aadabishwe.
Astonvilla tunamfuata au anakuja ghetto?Wadeni wetu wote wanastahili goli kuanzia 3 kwenda juu
Mbele ya ndoo hizo ni gharama ndogo sana.Siku hiyo nitanunua Mbuzi wa kutosha then niwaalike Members waje tuchome, kula na Kunywa
Kwani shi-ngapi 😅
Anakuja chumbani. Uzuri wa Emirates unapigwa huku unakubali.Astonvilla tunamfuata au anakuja ghetto?
The wait will be over 💪Mbele ya ndoo hizo ni gharama ndogo sana.
tutampiga kama hao wengine.Anakuja chumbani. Uzuri wa Emirates unapigwa huku unakubali.
Tena huyo Saint Anne atahudumia kuku tu, itapendeza zaidi wakiwa ni majogoo.The wait will be over 💪
Ili kunogesha sherehe hiyo, tutawaalika wenzetu wa Chelsea, Man UTD, na Liverpool wawe wanafanya kazi ya kutufungulia Vinywaji
Saint Anne atafanya kazi ya kutuhudumia Misosi, na kuhakikisha msosi haupungui kwenye sahani 😜
Huyu binti ataharibu hiyo sherehe,The wait will be over
Ili kunogesha sherehe hiyo, tutawaalika wenzetu wa Chelsea, Man UTD, na Liverpool wawe wanafanya kazi ya kutufungulia Vinywaji
Saint Anne atafanya kazi ya kutuhudumia Misosi, na kuhakikisha msosi haupungui kwenye sahani![]()
Kabisa yaani, hata kama atasema amehamia kikazi Somalia, nitahakikisha namtumia ticket ya ndege kuja na kurudi huko kwake ila suala la kutuhudumia Siku hiyo atafanya yeye 🤗Tena huyo Saint Anne atahudumia kuku tu, itapendeza zaidi wakiwa ni majogoo.
Hahaha............aje hivyo hivyo tu, yaani nitafurahi akituhudumia Siku hiyoHuyu binti ataharibu hiyo sherehe,
kwasasa hayupo sawa afya ya akili. hili nililigundua ile siku liverpunda anakuja gheto yeye anachekelea
Mtu wa kwanza ametuacha points 2, tunalingana kwa magoliUzuri wa wazee wa false hopes wakishinda mechi moja tu matumaini yanafufuka wanaanza kujazana ujinga humu, halafu game inayofata wakigongwa aidha wanaanza kutukanana wenyewe kwa wenyewe humu au wanajipiga ban kabisa. View attachment 2915689
Naunga mkono maamuzi yako mkuu.Kabisa yaani, hata kama atasema amehamia kikazi Somalia, nitahakikisha namtumia ticket ya ndege kuja na kurudi huko kwake ila suala la kutuhudumia Siku hiyo atafanya yeye 🤗
Zile mechi za Fulham na West Ham tulizingua kinyama.Tume lingana magoli na liva, tuzidi kypiga mkono tu..
👉Nyumbu Flano asi ongee, maana Hana kiti😆😂
View attachment 2915452
Halafu tunawakumbusha tu...No Partey...No Jesus...No Tomiyasu...No Vieira...No Timber...ila no problem🤠🤠... Zinchenko kuanzia leo ataliwa anagombea namba na Raya na Ramsdale...Timber wamuweke asirudi tena mpk msimu ujao....wapinzani wasije wakasema tuna gubu bureHahaha.........wasituonee wivu Hawa jamaa
Arsenal mechi hizi za karibuni tunafunga mabao mengi kama tumefungwa Busta miguuni 🤗
Wenye tendency ya kufumuliwa mara nyingi wapo nafasi ya 10 sijui huko🤠🤠...hao ndo wale wazee wa Caicedo anakaba halafu Enzo anachezesha timu...wapinzani wamekwisha🤠🤠...tunawakumbusha tu yule tulomkosa kono la Sokwe jana yupo juu yenu kwny msimamo...Sasa mjipange tusije tukalaumiana majirani