Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,032
- 111,623
Hapo city lazima adrop pointsBuriani....
Edit. Kumbe ni city. Niliona kama manyumbu
Hapo city lazima adrop pointsBuriani....
Edit. Kumbe ni city. Niliona kama manyumbu
Hapo city lazima adrop pointsBuriani....
Edit. Kumbe ni city. Niliona kama manyumbu
Kudrop kidogo sawa. Ila ingekuwa nyumbu ana kitu kama hichi asingeambilulia hata ka sareHapo city lazima adrop points
Usishangae nyumbu akampora points 3 city, mpira una maajabu yake.Kudrop kidogo sawa. Ila ingekuwa nyumbu ana kitu kama hichi asingeambilulia hata ka sare
Japo liverkuku na sisi tutashangilia ikiwa hivyo, ila naona nyumbu akipigwa kono, minimum.Usishangae nyumbu akampora points 3 city, mpira una maajabu yake.
Hiyo gem n ngum sanaJapo liverkuku na sisi tutashangilia ikiwa hivyo, ila naona nyumbu akipigwa kono, minimum.
Acha kujipa matumaini hewa we Arsekima, nani kwanza aliekwambia kua sisi Man Utd tunampango wa kumfunga City?Usishangae nyumbu akampora points 3 city, mpira una maajabu yake.




Premier wame weka38, Kuna wengine 39- hata sielewi mzee😆Hiyo siyo taping error kweli?
View attachment 2915554
Yaani badala ya kuji pambania kiume, ndo kwanza mme legea ka mbuzi wa msibani,😂😆Acha kujipa matumaini hewa we Arsekima, nani kwanza aliekwambia kua sisi Man Utd tunampango wa kumfunga City?
Guardiola tafadhali usimsikilize huyu kima ni amejiropokea tu baada ya kushiba ulanzi, points zenu 3 kwa nyumbu zipo tushawawekea kwenye mfuko wa shati kabisa![]()
Hiyo game ya utd vs city sio rahisi kama mnavyoifikiria, dua zangu kama arsenal ni kuona nyumbu anang'aa kwenye hiyo game.Acha kujipa matumaini hewa we Arsekima, nani kwanza aliekwambia kua sisi Man Utd tunampango wa kumfunga City?
Guardiola tafadhali usimsikilize huyu kima ni amejiropokea tu baada ya kushiba ulanzi, points zenu 3 kwa nyumbu zipo tushawawekea kwenye mfuko wa shati kabisa![]()
We nusu kaputi kumbe hadi kwenye mpira wa miguu humo?Yaani badala ya kuji pambania kiume, ndo kwanza mmeegea ka mbuzi wa msibani,😂😆
Yaani badala ya kuji pambania kiume, ndo kwanza mmeegea ka mbuzi wa msibani,![]()


sio suala la kujipambania mkuu hio iko wazi kabisa haina haja hata ya kutumia microscope, kikubwa ni huyo arsenyau mwenzio anaejipa false hope atambue sisi kama Man Utd hatutakubali mdogo wetu City akose ubingwa kwa ajili yetu. Na najua nyumbu hamja wahi kutu angusha arsenal.sio suala la kujipambania mkuu hio iko wazi kabisa haina haja hata ya kutumia microscope, kikubwa ni huyo arsenyau mwenzio anaejipa false hope atambue sisi kama Man Utd hatutakubali mdogo wetu City akose ubingwa kwa ajili yetu.
Vita yetu sio ya nyama na damu, vita yetu sisi ni kwa Arsenyau na Liverpunda.
NUSU albino huku kidogo ndo Ume pata Akili🤣😂😆We nusu kaputi kumbe hadi kwenye mpira wa miguu humo?
Hahaha.........wasituonee wivu Hawa jamaaPremier wame weka38, Kuna wengine 39- hata sielewi mzee😆
Mimi ni shabiki kindak ndak wa the gunnersNUSU albino huku kidogo ndo Ume pata Akili🤣😂😆
Hii itakuwa balaaManchester City's next five Premier League games could decide if they win the league for the fourth straight season:
▫️ Manchester United (H)
▫️ Liverpool (A)
▫️ Brighton (A)
▫️ Arsenal (H)
▫️ Aston Villa (H)
Huu mwendo ni mzuri, tusipotetereka tunaweza kunyanyua kwapa msimu huu.Hii itakuwa balaa
Sisi Arsenal twende na mwendo huu then tukutane May, 2024 tukikabidhiwa kikombe chetu cha EPL 💪
West ham 6Kwenye ile list ya wadeni wetu waliotudhulumu point 3 mzunguko wa kwanza wa EPL, amebakia Aston Villa.
Huyu akija Emirates tutamfanyia ukatili wa kijinsia.
Kesi ya Porto ni nyengine kabisa wala hatutaki kuizungumzia.