Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jana wachezaji walikua wamechoka sana, pamoja na mpira wote ule.

Martin Ødegaard on using the defeat to FC Porto and Newcastle as motivation

🗣️ “I think that (defeat to FC Porto) gave us the extra motivation today, also what happened against Newcastle last time. It gave us a little bit extra fight today. Even though we felt tired, a lot of distance covered. We just wanted to come and make a good game and give the fans a good night.”
 
Mechi ijayo vs Sheffield itachezwa jumatatu, hivyo wachezaji watakuwa na muda mzuri wa kurecover.

Wengi ambao hawakuwepo watakuwa washarudi, tukianza na Jesus, Partey na Timber. Zinchenko na Tomiyasu mpaka sasa haijafahamika ila inaonekana Zinchenko yupo karibu kurejea ukilinganisha na Tomiyasu.
 
Sisi watuweke wa mwsho Kila wiki kucheza Ili wapinzani wacheze washinde halafu tuchukue magoli Yao yte kwa pamoja tujumlishe Ili tuje kuyalipa tukicheza...
 
Kwa hapa tulipo tutakosea tukiamini kwamba Timber akipona tu ataanza kikosi cha kwanza. Kiwior tangu awekwe kama traditional LB amezidi kuimarika, nafikiri haitakua rahisi kwa Timber/ Tomiyasu.

Hii ni habari mbaya ndiyo ila siyo kwetu hii ni habari mbaya kwa wapinzani. Kama timu ina squad depth ya kutosha ni faida.

So tukae pembeni tuone ushindani wa namba utavyokua
 
Timber simuoni akifanya vizuri tena kuzidi kiwior, alafu timber pancha nyingi sidhani kama hata kama akipona ni mchezaji wa kutegemea sana.
 
Kiwior akiiacha kupenda kutumia mikono kwenye kukaba atakuwa bora zaid,amuulize gabriel amewezaje kuacha kutumia mikono sana (yawezekana ukabaji wa saliba ulimfunza gabriel na sasa ameimarika vizuri tofauti na awali)

Kiwior akienda kumkaba mtu lazima aanzie na mamikono😂😂😂 kuna sauti inaniambia huyu kuna siku atajamba kwenye pipa la unga 😂😂😂😂enewei ndio futiboliiiii.....

Zincheko labda aanze kujifunza majukumu ya odegaard ili awe kivuli chake maana emily smith rowe naona kashindwa kupenya kwa odegaard😂😂😂
 
Kwa hapa tulipo tutakosea tukiamini kwamba Timber akipona tu ataanza kikosi cha kwanza. Kiwior tangu awekwe kama traditional LB amezidi kuimarika, nafikiri haitakua rahisi kwa Timber/ Tomiyasu.

Hii ni habari mbaya ndiyo ila siyo kwetu hii ni habari mbaya kwa wapinzani. Kama timu ina squad depth ya kutosha ni faida.

So tukae pembeni tuone ushindani wa namba utavyokua
Kwa msimu huu tu. Ukiisha na tukienda pre-season, nafikiri timber ataimarika na kujishikia nafasi kwenye timu. Japo naamini hata hivyo mpango ni ule ule wa kuwa na wachezaji wawili wawili kila namba, na wawe bado wanauwezo wa kucheza namba tofauti. Mfano Timber anaweza kutumika kuinvert kutoka RB kama Benny Blanco huku Kiwior akicheza LB
 
Haya Tomiyasu itakuaje?
 
Back
Top Bottom