Asenyetoz ni comediansWazee wa False hopes kwenye ubora wao.
Mmeshindwa kuwin msimu uliopita wakati mmeongoza ligi kwa siku 258 ndio mje kuwin msimu huu?
Mmeshindwa kuwin msimu ulioisha kipindi ambacho Chelsea, Liverpool, Man Utd wanachechemea huku City ikiwa tiamaji tiamaji ndio mje kuwin msimu huu Liver na City gari limewaka?
Mmeshindwa kuwin msimu ulioisha wakati zimebaki mechi 8 kumalizika ligi nyinyi mnaongoza kwa points 8 mbele ya City alie nafasi ya pili, halafu imebaki mechi moja ligi kuisha City anaongoza kwa points 8 mbele yenu ndio mje mshinde msimu huu ambao kati anaeshika nafasi ya kwanza na wapili hakutakua na gape zaidi points 3?
Kweli nimeamini kua shabiki tu wa Arsenyau tayari unakua comedian by nature, ndugu yangu Masingeli kwa kutambua IQ yenu amewaambia muanze tu kushangilia kabisa maana Uefa msimu huu tayari ni mali halali ya AsenyoView attachment 2909999
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app