Nani kala za uso? 🤣Porto achague moja. Aje mbele ale za uso au akae nyuma akinge za uso. Uamuzi ni wake!View attachment 2911368
🤣🤣🤣🤣🤣 False hope fc. Huwa mnadanganyana sana.Jumatano tunawakaribisha kwny jambo letu pale nchini Ureno....tunaenda kutoa shule ya soka kwa kina Pepe na wenzie 🤠🤠🤠...karibuni sana
Hili mkuu mbona lipo wazi.Next up ni Newcastle ambao wameanza kurudi form. Arsenal mnaonekana kuanza kuchoka baada ya kupata matokeo mazuri mfululizo. Jumamosi tena mtakandwa na Anthony Gordon.
[emoji2788]| FC Porto goalkeeper Diogo Costa on Arsenal:
“Of course they have the weak points. I'm not going to tell what we are going to do.
“If they are the favourites (to win the Champions League) they need to show us they are one of the favourites.”
[Hayters TV]
Hii comment nitaji-tag mida ya saa 6 usiku
Wenger orphans na akili ni vitu viwili tofauti kabisa.[emoji16][emoji16]Porto huko walipo wanajiuliza watawazuia vipi saka, martianeli, Kai na odegard?
Na kinachowaumiza zaidi watatoboa vipi ukuta wa arsenal?
View attachment 2908062
Imedhaminiwa na umoja wa Nyumbu na Kenge