Tunafungwa magoli ya kizembe sana, too many stupid goals, ndio tulisema tunataka mabeki wa kueleweka, hawa akina koscielny wataendelea kutu-cost mechi hadi mechi.
Mechi tatu bana.... SIO MBILI..........Man 8-2, Swansea 2-1 (Tulipata kaushindi) then leo 4-3..... Jumla GOLI 13... Inauma saana..... AW inabidi ajiangalie upya........
How come wachezaji wawili wajifunge wenyewe kwenye mechi moja? Tunaposhambuliwa hakuna utulivu na kiongozi kuongoza huku nyuma, Vermaellean ni pengo sana hawa akina Djourou na Koscilny ni wa kubahatisha-bahatisha tu.

Noma msela , jumanne beki ilikuwa powa sana, leo kabla beki kuanza kuchanganyikiwa Forward ilitakiwa hiwe imeshamaliza game lakini wapi, kama kawaida tunaongoza kukosa magoli kwenye ligi.