Mahesabu yameenda hovyo dozi tunatoa kidogoBwana Castr alivyokua anasema Ligi tunaanza January mlikua mnakaza fuvu eeh mkizani anatania? Onena watu wanavyokula mikono uko kila weekend na hapo sasa bado kosi kamili February linatimia dadeki.
Hao waache kwanza ,tunataka mech za mwisho tuwe full squadMahesabu yameenda hovyo dozi tunatoa kidogo
Ilibidi Partey, Timber, ST na RW wangekuepo balaa lingekua zaidi
Tuwashukuru kwa lipi...Kila mtu apambane na matatizo yake...hamjatusaidia...mmejisaidia wenyewe...tukikutana na nyie kono la nyani lipo palepale...msijidanganye na matokeo ya janaAhsanteni majirani Kwa kutushukuru ,leo tumewarahishia kazi ya kubeba ndoo ,mshindwe ninyi kumng'oa Liverpool kileleni ,yule city kimbelembele tumepunguza upepo leo
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Kwakweli leo kaupiga mwingi, kwa mara ya kwanza nampa pongezi.Kama bado una wasi wasi na Kai Havertz nenda kashangilie rede... Thank you Chelsea
Chelsea akinfunga Leeds kwenye FA cup, basi mech yake na Arsenal itahairishwa
Hivo Arsenal atapata wiki 3 za kupumzika
Hizi wiki tatu ni Min preseason nyingine
Hapo injuries zote zitakuwa zimerejea
Ikiwezekana hizi week 3 ,waipeleke Tena timu Dubai

Nyumbu hii comment wataipita Kama hawaioni hiviGoli alilofunga Kai inabidi mchezaji awe na composure na confidence ndiyo afunge lile goli.
Wazia Jesus alivyomburuza Dalot
Tuwashukuru kwa lipi...Kila mtu apambane na matatizo yake...hamjatusaidia...mmejisaidia wenyewe...tukikutana na nyie kono la nyani lipo palepale...msijidanganye na matokeo ya jana


eti wametusaidia, hizi Kenge ni vichaa SanaMnateseka mkiwa pande zipi ndugu zetu🤣🤣🤣....sisi tunacheza kama tulivyofundishwa na tactician....amesema Kila mkifunga goli mchukulie kama mmefungwa goli nyny kwhyo mzidishe mashambulizi kusawazisha goli...ndo haya yanayotokea....hawapendi kupigwa kono la nyani ila hakuna namna sasaTako bila sura ni uvimbe tu.
5:0 bila ndoo, ni ushenzi tu
Kwakweli leo kaupiga mwingi, kwa mara ya kwanza nampa pongezi.


Naona hivo kabisaMsimu huu bingwa ataamuliwa kwa magoli.
One day watu watasema KDB anaingia ×4 kwa Odegard.Shootegard
Chancegard
Passegard
Pressgaard
Ohmygard
Odegaard man he's insane.
Hapa unakosea sana tumuache Odegaard aendelee kujijenga fans watampa presha za kujicompare na KDB mwisho atadrop let's wait for the coming 3 years Odegaard Saka Martinelli watakuwa wachezaji wenye profile za kidunia na hasa wakibeba Big trophiesOne day watu watasema KDB anaingia ×4 kwa Odegard.
Sioni kitu (KDB) alichomzidi Odegard
KDB kashaonesha yeye ni nani katika football msaada wake kwa Manchester City umewapa club trophies
duniani ambazo zinatakiwa kubebwa na playersHalafu kuna timu ina GD 0, wakishinda mechi 2 utasikia wanasema wapo kwenye mbio za ubingwa.Naona hivo kabisa
Nimesema one day (huko mbeleni), na hasa ukizingatia umri wake.Hapa unakosea sana tumuache Odegaard aendelee kujijenga fans watampa presha za kujicompare na KDB mwisho atadrop let's wait for the coming 3 years Odegaard Saka Martinelli watakuwa wachezaji wenye profile za kidunia na hasa wakibeba Big trophiesKDB kashaonesha yeye ni nani katika football msaada wake kwa Manchester City umewapa club trophies
duniani ambazo zinatakiwa kubebwa na players
Tutasikia kila neno msimu huuTako bila sura ni uvimbe tu.
5:0 bila ndoo, ni ushenzi tu
Mahesabu yameenda hovyo dozi tunatoa kidogo
Ilibidi Partey, Timber, ST na RW wangekuepo balaa lingekua zaidi
huna huruma kaka