Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Mkonooooooo
Link utakuwa unapata wakati mgumu, pakua yacine tv, hapo ni uhakika.Mkuu msaada wa link
hahaha alafu jamaa akaweka kwa utulivy kabisa then akasema mnanisikia vzr huko bonyokwa mlima nyege??Daaaah ila jamani wadau hawampendi Kai. Yani Kai kupokea mali tuu, banda umiza wanakwambia "anakosa...anakosa...."
Hizo link wanazozituma wadau kila siku "zi-bookmark". Then hutohitaji link tenaMkuu msaada wa link
Chuma cha tano we mama wa Kiwalani Bom bomWanangu wa Burnley hawajawahi kuniangusha🔥
Refa kasuka mpango tuzifikie hizi ila tumefeliPamoja na yote inatakiwa tushinde 7 - 0
Yaani hivyo kweli hawaKenge wamekata umeme
Burnley kafa 5 mtungi.Very sad tuna first eleven tu.maana ikitoka ile front three unaona kabisa mbele kunapoa sana
TupoTeam Chelsea tujuane leo!