KUHUSU BEN WHITE KUWA INVERTED TO MIDFIELD
Maestro Martin Ødegaard
#EBL mchambuzi nguli anakwambia yote haya yanafanyika uwanjani wa akili ya mpira na technical aspects alizokua nazo Ødegaard kichwani ni very intelligent kwenye possession, attacking flow, ishu za spaces na fluidity Ødegaard ainafanya Arsenal icheze na ndio mchezaji anaeelekeza uwanjani kuhusu kuchukua spaces kama mchezaji mwenza akijisahau.
Ben White ni kiraka kwelikweli ni mwamba sana na anajua kusoma movements za Ødegaard na Saka, na kwenye hii game alikua anafanya Kazi mbili kipindi Cha attacking:-
1. Inverted kwenye Midfield,
2. Overlapping upande wa Saka kumpa Saka nafasi ya kuingia ndani na kumuondelea defender mmoja. Na kwa Ødegaard kuja kwenye deep laying inaonyesha akili yake ya mpira maana anausoma mchezo wote na kuelekeza wenzie sehemu za kukaa. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2903990