Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Kenge do us a favor, wajinga nyie
Tulia,Wazee mko serious sio kwa dozi hizo za magoli mnazogawa.
TAfuteni kocha wa kueleweka ndugu zetu....haya yanayowatokea ndugu zenu sio kwmba ni ndoto...ni uhalisia...tusitafutiane lawama tukikutana...siku hzi tunaanzia mkono ushindi wetu...Sasa tumewapa tahadhari majurani mapema🤠🤠🤠Wazee mko serious sio kwa dozi hizo za magoli mnazogawa.
Hata wasikutishe ni kawaida yao hawa kima wakikutana na walevi.Wazee mko serious sio kwa dozi hizo za magoli mnazogawa.
Unaugulia ukiwa pande zp mkuu 🤠🤠🤠...sasahv tukishinda goli 3 kushuka chini tutakuwa tunawaomba radhi ndugu zetu maana haya mambo hatujazoeaHata wasikutishe ni kawaida yao hawa kima wakikutana na walevi.
Mechi zao za mchekea ndio zinaelekea tamati, wiki ijayo wanakutana na Newcastle lazima wateme bungo, halafu fixture yao ya March, April na May ni mwendo wa kurudisha chenji, mechi 3 za mwisho watakua wanapambana na kina Villa na Spurs kuingia top 4.
1- City
2- Kuku
3- Nyumbu
4- Villa, Spurs na Arsenyau View attachment 2907327

Kwema bao la kwanza King Kai Havertz ameondoka na Mabeki 2 kufungua nafasi Kwa Martin Odegaard Kubaki peke yake kwenye ncha ya box anafunga 1-0
Kwenye Bao la Pili Kai Havertz anatoa Pasi Kwa Leandro Trossard anafanyiwa Faulo, Bukayo Saka anaweka chuma 2-0
Kwema Chuma ya 3 Kai Havertz anatoa Pasi kwa Martin Odegaard anae Assist Kwa Bukayo Saka Chuma 3-0
Then Kai Havertz anaweka Mwenyewe Chuma ya 5... anamtia tobo Dara O'Shea anaweka nyuma ya wavu 5-0...
Kama bado una wasi wasi na Kai Havertz nenda kashangilie rede... Thank you Chelsea 

BURNLEY 0-5 ARSENAL
WESTHAM UNITED 0-6 ARSENAL11 goals in 20 matches, conceded 0 goals😆🤣🤣Wanangu wa Burnley hawajawahi kuniangusha🔥
Ahsanteni majirani Kwa kutushukuru ,leo tumewarahishia kazi ya kubeba ndoo ,mshindwe ninyi kumng'oa Liverpool kileleni ,yule city kimbelembele tumepunguza upepo leoNa Mzee wa Jambia
GOLI 11 KWENYE MECHI 2 ZA UGENINI MFULULIZO this is Arsenal football club
Kwema bao la kwanza King Kai Havertz ameondoka na Mabeki 2 kufungua nafasi Kwa Martin Odegaard Kubaki peke yake kwenye ncha ya box anafunga 1-0
Kwenye Bao la Pili Kai Havertz anatoa Pasi Kwa Leandro Trossard anafanyiwa Faulo, Bukayo Saka anaweka chuma 2-0
Kwema Chuma ya 3 Kai Havertz anatoa Pasi kwa Martin Odegaard anae Assist Kwa Bukayo Saka Chuma 3-0
Then Kai Havertz anaweka Mwenyewe Chuma ya 5... anamtia tobo Dara O'Shea anaweka nyuma ya wavu 5-0...
Kama bado una wasi wasi na Kai Havertz nenda kashangilie rede... Thank you Chelsea
Ubingwa wa Arsenal msimu huu hapa.
Dhidi ya Man City ETIHAD
Dhidi ya Tottenham Hotspur stadium
Dhidi ya Man United Old Trafford
Note; Nikipiga hawa nachukua Ubingwa.I don't care kuhusu Matokeo ya Man City au Liverpool ...
Mwenyezi Mungu naomba popote pale nikutane na FC Barcelona au Bayern Munich..Muda wa kulipa Madeni huu.. KENGE NYIEEEEEE
FTBURNLEY 0-5 ARSENAL
FTWESTHAM UNITED 0-6 ARSENALView attachment 2907362