mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,226
We back tunaenda kuanza ligiYeeesss. Hamis in the house! We missed you brother. Sasa tutaenjoy uhondo
Artetaliban ball is coming





We back tunaenda kuanza ligiYeeesss. Hamis in the house! We missed you brother. Sasa tutaenjoy uhondo





We tapeli ulikuwa umejificha wapi ?





Acha tu,, ana homa za miguu yul mtoto.. ila akiotea anafanya kweli,Nketiah ndio Top scorer kumbe![]()

Kama ni kweli,Kutokea kwenye kauli hii,Binafsi nafikiri shughuli ya asenali na vikombe kwa msimu huu ndio imefikia tamati😂😂😂...Arteta: We may not sign anyone in January
Mikel Arteta admitted it was a "possibility" Arsenal may not add to their squad in the January Transfer Window, ahead of facing title rivals Liverpool in the FA Cup.
Skysports.




acha zako sisi mashakibiki wa Gunners tunasemajeeee kurejea kwa Partey ni Usajiri mpya ,Beki letu Timba ndani, hapo nyuma unapita wapi Timba , Saliba Gabriel,Zin ana invert kuungana na wenzake Partey, mchele na Orda , una world class Saka 🌟 boy, martinel na Yesu wa Brazil . mtapoteana🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama ni kweli,Kutokea kwenye kauli hii,Binafsi nafikiri shughuli ya asenali na vikombe kwa msimu huu ndio imefikia tamati😂😂😂...
Livakuku anaenda kumpasua vizuri,Arteta anaenda kutema bungo jingine...
Kwenye ipielo ndio basi tena labda kwa wale wenye msimu wao unaanza januari ila kwa ninavyoona kutarajia asenali abebe ligi kwa kuanza msimu januari ni kuamua kulala na bomu chumbani😂😂😂....
Kule yuefa ndio kwanza ncheke😂😂😂😂 akitoboa kwa porto,bayani hawa hapa😂😂😂😂😂😂 anakula mkono,shughuli ya fezifoo inakuwa imeisha😂😂😂.
KUSHABIKIA ASENALI NI SAWA NA KUCHEMSHA MAZIWA👣...
We miso misondo....
Aza waisi tuendelee kuongopeana humu na misamiati ya kuovalodi,kupishana,deklani ubwabwa,dabo paivoti,invetedi, lakini kwangu msimu umeshaisha
Epielo mwisho bingwa siti au liva,
3.Tot
4.Asenali/Aston vila/Maniyunaitedi
Yuefa bingwa siti tena😂😂😂
Kocha boya sana.Hii timu yetu ni kichekesho tuu,
Kila msimu unahisi itachukua ligi lakini wapi utoto mwingi hadi wapinzani hawaichukulii arsenal serioua ikiwa inaongoza ligi.
Arteta hadi leo ameshindwa kuprove chochote cha maana japo wachezaji amepewa anaotaka.
Sisi ndiyo wataalama wa kutengeneza wachezaji wa kushinda mataji, halafu hatutengenezi timu iliyokamilika kusupport hao wachezaji. Mwishowe wanasepa kwenda kwenye majani mabichi kwingine.Tujikumbushe kidogo.
Natamani na Saka aleft aje Chelsea abebe UEFA next season au baada ya Next Season
View attachment 2862611
Tulimtaka Klopp aje awe msaidizi wa Arteta, ila sasa aje kuchukua nafasi yake kabisa