Ila tuache utani Masingeli amelichangamsha sana hili jukwaa, bila ya uwepo wake humu hili jukwaa hua halinogi kabisa, tatizo lake huyu jamaa hua ana roho nyepesi sana timu ikifungwa.
Akianzaga zile story zake za aerial duel, Pressing na Overloading, positional interchange na flexibility akamalizia na zile story za Super Computer hua anaikusanya na kuiteka misukule mingi sana humu.
Jamaa hua linajua sana kucheza na akili za mafalse hopers ya humu, tena wale chawa wake kina
arsenal2004 na
mkorea ndio huwaambi kitu kuhusu Masingeli maana kashawaamisha kua yeye ni Chambuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi.
Sent from my Infinix X6831 using
JamiiForums mobile app