Sinaga huo utoto, nowadays ni nadra sana kunikuta kwenye thread za timu pinzani, huo muda ni bora nijifunze ni kwanini timu husika either Arsenal/Spurs/ Man city wamepoteza mechi kuliko kukaa kurusha vijembe kwenye thread.
Ukweli ni kwamba wazee Mnatuogopa mno, nadhani ndio sababu mnajaa humu tukipoteza mechi, standard mliyotuweka ni kubwa sana, kwamba sisi hatutakiwi kufungwa au ku draw? Sasa unakuta mtu anakesha wiki nzima humu akiongelea ubovu wa Arsenal eti sababu tulipoteza 1-0 dhidi ya A villa au Newcastle!