Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

naona wacha1 kausajili kamefanya kazi naona benouyun anapiga kazi kuliko alikuwa chelski na looserpool.

mkuu hivi uefa ya mwaka ikoje naona kila timu zimejidhatiti maana mpaka sasa magoli mengi ni mawili tu kingine ni droo tu..

Beki inajituma sana wachezaji wachache tu wanahitaji ku improve, Walcott na Gervinho wanapoteza sana mpira.

Arteta uzuri wake ana kaba na anajua kujituma. Wilshere akirudi itamsaidia Arteta kuwa more offensive.

dah, walcott sijui nini kimemsibu gemu mbili hizi zlizopita..anakuwa mzuri anapoingia kama sub..now it's a time mzee awe anatumia foward mbili mbele yaani rvp + park.. (4-4-2)

kwa ufupi arsenal jana wamepiga mpira ingawa walikuwa away.... timu inatia matumaini... kuna watu walimsema saana arteta .... naona anawaonesha kwamba sivyo kama walivyomfikiria... theo... hawezi kucheza winger ...
Tuko pamoja.

dah, walcott sijui nini kimemsibu gemu mbili hizi zlizopita..anakuwa mzuri anapoingia kama sub..now it's a time mzee awe anatumia foward mbili mbele yaani rvp + park.. (4-4-2)

Ondoa shaka mkuu Walcott anacheza vizuri ... .... uliona assist na pasi ambayo ilikuwa imepimwa kwa RVP .... .... , wachezaji wote watapata nafasi bado mechi nyingi sana vile vile kuna FA na Carling cup .. ...... ... ngoja wachukue mazoezi baada ya muda mtaona moto, maana vijana wapo wakali sana. Ooops wasiione hii Manure na Chelsick khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ..... ...... only for Gunners.

naona wacha1 kausajili kamefanya kazi naona benouyun anapiga kazi kuliko alikuwa chelski na looserpool.

mkuu hivi uefa ya mwaka ikoje naona kila timu zimejidhatiti maana mpaka sasa magoli mengi ni mawili tu kingine ni droo tu..

Kila timu imefanya usajili chichi tumeuza wasiopenda kuchezea timu yetu na kununua replacement na hiyo hampendi, Dah! Ama kweli mwenye chongo ..... ..... .... khe khe khe kje khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Acha kupiga nyanga wewe kwani mmeuza kwa kupenda?

Wajameni watani wenzangu, brazaz and sistaz...leo najisikia kuja kuwashangilia mkiwa mnakung'utwa na Rovers...kuna mwenye jezi ya risevu kwa ajili yangu?, i mean Fly Emirates?
Favor plz.

Salam wakuu wa gooners. Ushindi muhimu leo na kikosi cha kutupa ushindi ni:

Szczeny,Sagna,Santos,koscienly,Per M,Song,Arteta,Ramsey,Arshavin,Gervinho na Van Persie.

Kila la kheri , na leo tumepewa nafasi ya kumuona Santos akianza rasmi.

Acha kupiga nyanga wewe kwani mmeuza kwa kupenda?

It just shows how low a person can be. You can do better than that, the players sold didn't want to play for Arsenal, thats a fact. We won't mourn about that only homosexuals can complain.

Salam wakuu wa gooners. Ushindi muhimu leo na kikosi cha kutupa ushindi ni:

Szczeny,Sagna,Santos,koscienly,Per M,Song,Arteta,Ramsey,Arshavin,Gervinho na Van Persie.

Kila la kheri , na leo tumepewa nafasi ya kumuona Santos akianza rasmi.

Na SUBS;Fabianski,coquelin,Djourou,Walcott,Gibbs,Chamakh and Benayoun.But i wonder why not J Y Park?

gun__1316079359_santos_training.jpg

Santos anaanza leo wakati Ramsey yuko fit
pamoja na kurejea kwa Song na Gervinho ... ..

Na SUBS;Fabianski,coquelin,Djourou,Walcott,Gibbs,Chamakh and Benayoun.But i wonder why not J Y Park?

Mie nasubiri sana debut ya Park. Nilimtegemea leo lakini wapi. Namuamini kwa vile mkakamavu sio laini laini kama tabia ya wachezaji wetu wengine.

yaani naingia home tu ktoka mzigoni namuona Gervinho anatikisa nyavu.....Raaaaaaaaaaha sana.... inakuaje wadau??? Bila kusahau haterz ambao hamkauki katika hii thread mambo vp??? Pilika za maisha ni aje??? karibuni tuwe pamoja katika kupata burudani.....Hahahahahahahhhaaaa

Back
Top Bottom