mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,701
- 19,552
hamis77 yupo SanaHahaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ,hili jukwaa burudani sana , kwamba mmeanza ligi leo au sio ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hamis masingeli yuko wapi ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kenge yule anajuaga kujichimbia yule mkila kisago , anapotea mazima ,
Siku mkishinda anaibuka na takwimu zake za ki Dr shika
Mjiandae kwa spana mjiandae kwa vibano
Maji mtaita mma