Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,790
- 4,678
kwani Hamis yupo holiday? Tumekumbuka vitu kutoka kwake mambo ya intensity, high pressing , mid block, counter attack , false nine n. k. Mechi mbili tu zitunyime uhondo ajitokeze tu.





kwani Hamis yupo holiday? Tumekumbuka vitu kutoka kwake mambo ya intensity, high pressing , mid block, counter attack , false nine n. k. Mechi mbili tu zitunyime uhondo ajitokeze tu.





kwani Hamis yupo holiday? Tumekumbuka vitu kutoka kwake mambo ya intensity, high pressing , mid block, counter attack , false nine n. k. Mechi mbili tu zitunyime uhondo ajitokeze tu.
World Class Coaches wapo na World Class Players wapo.
Issue no uendeshaji wa Timu
Unaweza kuwa na Best Coach kama Jürgen Klopp, Arteta, Simeone, Unai lakini ikakosa right Players kulingana na uwekezaji wa Timu linapokuja suala la kununua Wachezaji.
But unaweza kuwa na Owners wazuri wanaomwaga hela za kutosha kwa usajili lakini ukawa na wrong Coach kama Chelsea na Manure.
Hivyo Timu ikiwa na right Coach with owner ndiyo itafanikiwa ingawa na mara chache right Coach na right owner kukutana pamoja.


.Nacholipendea hili jukwaa la Gunners kuna mpuuz m1 uwa anawajaza wenzake upepo bahari ikichafuka anapotea kwnz yy.
Wanabak wapambe wake kujarb kupoza hali ya bahari kabla ya mkuu wao kuja kuwajaza tena upepo.
Aje kuchukua nafasi ya Nketiah na kumpa changamoto Jesus?
Arteta angekuwa anajua anatukosesha uhondo gani huku bongo tukifungwa, asingekuwa anaruhusu tufungwe.
Ona sasa Hamis hatuletei matetesi kutoka vyanzo vyake vya Colney. Hatuna picha za mazoezini. Hatuna quotes za wachambuzi...dah, FOMO kama yote inatawala.
Bahati nzuri kwake ni anahitaji kushinda next game tu, Hamis arudi na uhondo wa mwezi mzima






Ndo ujinga kocha tunaousema.Arsenal wakishindwa kusajili watu sahihi kwa mahitaji yanayoonekana hasa mshambuliaji,beki na kiungo mapema (ndani ya siku7-14)wamekwenda na maji.....
Kwa nilivyowazoea watavizia mwishoni wa dirisha,wazuge wamemkosa au kuwakosa waliowahitaji kwa sababu za nje ya uwezo.😂😂😂
Kwa mwendo huu wa majeruhi ya Zinny na kuondoka kwa Tomiyasu naona kuna uwezekano wa kutosajiliwa kiungo,mshambuliajia na beki wa kati. Nafasi moja hapo inavunjwa soonArsenal wakishindwa kusajili watu sahihi kwa mahitaji yanayoonekana hasa mshambuliaji,beki na kiungo mapema (ndani ya siku7-14)wamekwenda na maji.....
Kwa nilivyowazoea watavizia mwishoni wa dirisha,wazuge wamemkosa au kuwakosa waliowahitaji kwa sababu za nje ya uwezo.![]()
Wasijesema haukuwaambia
