HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Tunasubiri tushinde gameWamekimbia jukwaa😂
Tunasubiri tushinde gameWamekimbia jukwaa😂
Tupo sana chiefWamekimbia jukwaa[emoji23]
Kocha kazingua sana huyu kijana.Ninachokiona kwenye huu Uzi sijazoea kukiona mbona ukimya umetawala sioni zile chambuzi hapa?
Tupo kaka. Majukumu tu ya hapa na paleNinachokiona kwenye huu Uzi sijazoea kukiona mbona ukimya umetawala sioni zile chambuzi hapa?
Ma-Liva yanamfananisha Hendo na Rice
Kuna ile kauli moja hivi tulikuwa tunatunua baada ya kucheza na Newcastle. Kwamba wanapata matokeo mabaya coz walitumia nguv7 nyingi sana dhidi yetu.
Eti Maliver nayo mitaani huku yanaitumia hii kauli kwetu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
@hamis77 is Back [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka hatujaumaliza vzr ,but kitu kizuri hatupo mbali na nafasi za juu
Akichambua mkafungwa mnaanza tena kumponda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yeeesss. Hamis in the house! We missed you brother. Sasa tutaenjoy uhondo
Naona ujinga ujinga umeanza tena. Na nyumbu wenzake wataendelea kumuunga mkono[emoji599][emoji599]| @FabrizioRomano : “A new full-back for Arsenal? Yes it is a possibility, it is a possibility for Arsenal to bring in a new full-back in January.”
“They have to see what opportunity they can find, if it’s a loan deal, but Arsenal are exploring options in that position, they are in the full-backs market, I can confirm that, there is a possibility, there is a chance, we will have to see, but I think it’s a possibility,”
[KICK]