Mjusi_kafir
JF-Expert Member
- Dec 4, 2023
- 296
- 513
Pale aliteleza ndo maana muelekeo wa mwili wake ulienda tofauta ni Same na ile wachezaji na mashabiki vichaa wa Liver wanadai Saka kacheza rafu wakati kateleza na pia kacheza mpira kwenye ile tackle .Asenali wachezaji wamejitoa kweli leo ila VAR wamewanyonga liverpool,odegaard naona aliushika maksudi ule mpira,nafikiri arteta aliongelee na hili sio asubrii tunyongww ndio keleleee




️
