Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe utakua unaumwa sio bure
Wewe dogo grow up, ukiona nimeandika kitu jitahidi utafakari badala ya kuropoka.

Mpira naufahamu, nimeangalia mpira tangu 1990 na world cup tangu 1994 na nashabikia arsenal tangu 1995.

Narudia tena arsenal tuna complete players wawili tu, Saliba na Rice. Wengine ni low to average squad players.
 
Muwe watulivu. Kesho HAMISI na kundi lake watakuja kuwaonesha jinsi gani mmecheza vizuri vs West Ham. Chance mlizotengeneza n.k
Then mnaendelea kujipa moyo kwamba ligi mnaianza January then maisha yanaendele vizur kabisa.
Wanasema Epl ya kwao na Uefa wanacheza fainal Wembley
 
DECLAN RICE TANGU AHAME WEST HAM KAKUTANA NAO MARA MBILI MSIMU HUU NA ZOTE KALA ZA VICHWA ( EPL NA CARABAO CUP )

✍🏻West Ham walikuwa na mpango na waliutekeleza vizuri uwanjani kwa ustadi wa hali ya juu sana

1: Zuia ndani kwa idadi kubwa ya wachezaji huku kufunga space baina ya mstari mmoja na mwingine kwenye 4-4-1-1 na kuwalazimisha Arsenal kwenda pembeni zaidi

2: West Ham walijua kwamba crosses zote watakabiliana nazo vizuri kwasababu kwenye kimo wao wapo wengi warefu kuliko Arsenal

3: Kwenye counter attacks wana silaha nzuri ambazo pasi za James Ward Prowse na kasi ya Bowen Benrahma na Kudus .

✍🏻Arsenal ambacho walikuwa wanajitahidi kukifanya ni kama kile walichofanya dhidi ya Everton msimu huu tofauti ni kwamba mechi ile Goodison Park walishinda hii wamefungwa ... vitu vingi Arsenal walifanya kwa usahihi

1: Walivuta sana subira katika nyakati sahihi hawakuharakisha maamuzi ✅

2: Third Man Runs ( Trossard ) alizifanya sana pengine ulitamani mchezaji mwingine afanye pia

3: Mpambano wa 1v1 pembeni ya uwanja ulikuwa mpango wa Arsenal lakini West Ham fullbacks wao walikuwa vizuri wakisaidiwa na wingers wao ( Coufal na Emerson ✅)

4: Ball striking , ni Saka na Odegaard ndio walionekana pekee wapo tayari kupiga mashuti golini lakini wengine walizidisha sana upigaji wa pasi badala ya ku shoot golini

✍🏻Baada ya hapo mechi ilikuwa mechi ya nani anazuia vizuri na nani anashambulia vizuri ( kufunga )

NOTE

1: Martin Odegaard mguu kama kijiko 🔥

2: Martinelli form yake inatia sana wasiwasi

3: Walimsimanga mwanzoni mwa msimu lakini leo Arsenal walim miss sana Kai Havertz

4: Leo West Ham hata unashindwa kuchagua nani bora maana wote wamepiga kazi kubwa sana . Labda nitaje wote 🔥

5: Angelo Ogbona idadi ya blocks alizofanya sio masihara 🔥

6: Sanaa ya uzuiaji kwa West Ham 🔥

7: BASI TUTOE HILO MOJA AMBALO MNASEMA MPIRA UMETOKA ... TUFANYE 1-0 BASI

FT: Arsenal 0-2 West Ham United

#Ambangile
 
Ligi bado mbichi sana
 
Sema wewe jamaa utakuwa unavuta bangi siyo bure
 
So Arteta told Arsenal fans kujaa uwanjani means ni final game ya 2023 kumbe uchoko ndio huu OK nazima Television Arsenal haiwezi kubadilika abadani ni ile ile tu differ ni miaka tu
Kama Arsenal haiwezi kubadilika basi badilika wewe
 
Hamjasema bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…