Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Mkuu ww hata kuota tu iyo ndoto ni kama unakosea heshima ndoto.Nimeamini Arsenal kuchukua ubingwa ni ndoto rasmi nimeamka kutoka ndotoni
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaArsenal akiwa Emirates anakuwa wa moto sana
Westham watapaki sana basi wakisubiri kaunta
Tunahitaji Foward lazima, Jesus bado anakosa nafasi za wazi.Tumekosa magori mengi sana leo
Kuna haja tukasajiri mshambuliaji dirisha dogo
Baad ya kufungwaKaeni kimya watoto mkiona kaka zenu tumeandika hapa jukwaani. Nimeangalia mpira tangu 1990, arsenal hatuna timu ya kubeba chochote.
Complete players ni wawili tu, Rice na Saliba. Wengine ni low to average squad players.
Endelea kuota kenge weeeNaamini leo tunashinda pasipo shida..
Tembo mtini hadi new year..
Tuna tatizo la umaliziaji pamoja na kushindwa kupiga mashuti nje ya 18Tunahitaji Foward lazima, Jesus bado anakosa nafasi za wazi.
West Ham Game plan yao imefanya kazi leo.Tulikosa namna ya kufungua beki zao.
Kabisa MkuuBila mshambuliaji hatuendi kokote
Mkuu unaianza lini hiyo kazi yako. Ha ha haaaaaaWanasaka furaha maana wapo hoi
Ngoja tuanze kuwapelekea moto jukwaan kwao
Hiyo kazi naianza week hii
Tunahitaji Foward lazima, Jesus bado anakosa nafasi za wazi.
West Ham Game plan yao imefanya kazi leo.Tulikosa namna ya kufungua beki zao.
Usiwape credit Westham ili kuficha ujinga wenu. Sema tu viungo wenu hawana ubunifu na forward yenu butu.Tuwape credit Westham, wamejua kuzuia sana yaani pamoja na kumiliki mpira asilimia zaidi ya 80 lakini waliweza kuzuia mashambulizi yetu kwa kuwabana zaidi wachezaji wetu tegemeo
Fuatilia hizo post uone nilianza kuandika lini.Baad ya kufungwandiio mnaonge shit zote hizi hahah
Mzee kama kuna kitu hakina dhamana dunia hii bas ni nyie Arsenal ni No1 kwa Sbb team mliyo nayo ni ya kupigia porojo tu lkn sio kunyanyua ndoo za nzito za wanaume wa kazi.Am an arsenal fan ila bado sana arsenal kuwa na timu ya ushindani wa kibingwa....naanza kuelewa ufinyu wa ubora wa arteta he is a good coach ila the issue nae anaitumia arsenal kufika daraja la ubora...we dont need this kind of character aisee...tumestruggle for many years na hii timu ARSENAL deserves to win guys ...daah binafsi nmechoka sana kila sku tunajenga timu tu lkn haina ushindani...yani trust me liver hashikiki tena wana experienced coach halaf city akishinda kiporo tunalevel points nae ...haya kuna nn tena hapo