Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama ilivyo ada ya EPL, anayemaliza top of the table kipindi cha xmas huwa bingwa wa msimu husika. Leo Villa anacheza na vibonde Sheffield hivyo ushindi ni 99% kwake. Kesho ninyi na Liverkuku mnatoa droo au mnakufa kabisa. Hapo ndio mwanzo wa kuanza kumuona Kai anacheza Arsenal sababu ni shemeji yake Arteta na sio wa kiwango stahiki.
Then mtaanza kuongelea usajili wa Julai wakati tuko Disemba.
False hopers.
Whatever happens tomorrow, Arsenal or Liverpool will be top of the Premier League at Christmas...

The last six teams to fail to win the title from that position?

◉ Arsenal (2007/08)
◉ Liverpool (2008/09)
◉ Liverpool (2013/14)
◉ Liverpool (2018/19)
◉ Liverpool (2020/21)
◉ Arsenal (2022/23)
 
Arsenal katika dimba la Anfield mdani ya miaka 10:

2013-14: Liverpool 5-1 Arsenal
2014-15: Liverpool 2-2 Arsenal
2015-16: Liverpool 3-3 Arsenal
2016-17: Liverpool 3-1 Arsenal
2017-18: Liverpool 4-0 Arsenal
2018-19: Liverpool 5-1 Arsenal
2019-20: Liverpool 3-1 Arsenal
2020-21: Liverpool 3-1 Arsenal
2021-22: Liverpool 4-0 Arsenal
2022-23: Liverpool 2-2 Arsenal

Leo ni siku nyingine na mwaka mwingine Arsenal kazini kwenu kuna kazi.

ni kubaya.
1703320353167.jpg
 
Anfield Arsenal huwa wanatetemeka Sana ,hata kabla game haijaanza ,kiufupi kuanzia kocha ,wachezaji wote wanakuwa wanatetemeka hawajiamin kabisa ....ndio maana mnabaki kuwa timu ndogo,small club kabisa ....mnaona Madrid akiingia pale anavowanyanyasa mpaka uwanja unageuka library
 
Na nyny huwa mkienda inakuwaje....mbona mnajisahaulisha ndugu zetu....si huwa mnatandaza kabumbu lakini mwsho wa mechi ubao unasoma tofauti....mnakula ngumi ndoige moja tu....mnarudi kwenu
 
Na nyny huwa mkienda inakuwaje....mbona mnajisahaulisha ndugu zetu....si huwa mnatandaza kabumbu lakini mwsho wa mechi ubao unasoma tofauti....mnakula ngumi ndoige moja tu....mnarudi kwenu
Huwa nawaonea huruma tu mkienda Anfield....mwaka Jana mkaongoza kabisa Goli mbili na mnataka kuchukua ubingwa lakin moto mliopelekewa sio poa zote zikarudi na Salah alikosa penalty mlikuwa mnapigwa kabisa ...na Ni mwaka ambao Liverpool alikuwa mbovu maana hata top 4 hakuingia...
 
Arsenal katika dimba la Anfield mdani ya miaka 10:

2013-14: Liverpool 5-1 Arsenal
2014-15: Liverpool 2-2 Arsenal
2015-16: Liverpool 3-3 Arsenal
2016-17: Liverpool 3-1 Arsenal
2017-18: Liverpool 4-0 Arsenal
2018-19: Liverpool 5-1 Arsenal
2019-20: Liverpool 3-1 Arsenal
2020-21: Liverpool 3-1 Arsenal
2021-22: Liverpool 4-0 Arsenal
2022-23: Liverpool 2-2 Arsenal

Leo ni siku nyingine na mwaka mwingine Arsenal kazini kwenu kuna kazi.

ni kubaya.View attachment 2850538
Hiyo ni ya Arsenal. Lete ya nyumbu
 
Juzi Klopp kawasema mashabiki kwanini hawashangilii sana na kama mtu anajua hawezi kushangilia agawe ticket kwa anayeweza.

Hii imekuja baada ya Onana, kipa mwenye clean sheets nyingi kuliko Allison Becker, kusema kwamba hakufeel hiyo atmosphere inayodaiwa ipo Anfield
 
Huwa nawaonea huruma tu mkienda Anfield....mwaka Jana mkaongoza kabisa Goli mbili na mnataka kuchukua ubingwa lakin moto mliopelekewa sio poa zote zikarudi na Salah alikosa penalty mlikuwa mnapigwa kabisa ...na Ni mwaka ambao Liverpool alikuwa mbovu maana hata top 4 hakuingia...
Kwhyo kumbe tunaoneana huruma maana hata sisi huwa tunawaonea huruma ndugu zetu
 
Huwa nawaonea huruma tu mkienda Anfield....mwaka Jana mkaongoza kabisa Goli mbili na mnataka kuchukua ubingwa lakin moto mliopelekewa sio poa zote zikarudi na Salah alikosa penalty mlikuwa mnapigwa kabisa ...na Ni mwaka ambao Liverpool alikuwa mbovu maana hata top 4 hakuingia...
Halafu sisi tuli droo pale vp kuhusu nyny mlipata matokeo gani pale ndugu zetu kwahyo Liverpool ambayo haikumaliza hata top 4
 
Arsenal katika dimba la Anfield mdani ya miaka 10:

2013-14: Liverpool 5-1 Arsenal
2014-15: Liverpool 2-2 Arsenal
2015-16: Liverpool 3-3 Arsenal
2016-17: Liverpool 3-1 Arsenal
2017-18: Liverpool 4-0 Arsenal
2018-19: Liverpool 5-1 Arsenal
2019-20: Liverpool 3-1 Arsenal
2020-21: Liverpool 3-1 Arsenal
2021-22: Liverpool 4-0 Arsenal
2022-23: Liverpool 2-2 Arsenal

Leo ni siku nyingine na mwaka mwingine Arsenal kazini kwenu kuna kazi.

ni kubaya.View attachment 2850538
Challenge accepted.

Tulianza na Man U,ilituchukua muda kupata angalau draw pale kwake, lakini misimu kadhaa hivi karibuni amekuwa akituchangia 4 points, na ile Arsenal ya kujitafuta ile.

Vivo hivyo, Manchester city kabeba points sana pale Emirates, ila this time katuachia points zetu.

Sasa ni zamu ya mitetea ya Liverpool hapo. Tunaenda kuchukua points zetu palepale kwao na kelele zao. Af tukimaliza tunawaimbia ule wimbo uleee "kiwanja chaooo, mpira waooo..."
 
Asenyetoz na leo mfumuliwe Manundu na Liverpool mpaka mkome ,
Yaani leo mtajua maharage ni mboga au sio mboga .
Kidomo domo Fc
Kivumbi leo pale Anfield ,mtajuta kujiita Title contender
The whole world supports Liverpool today .
 
Arsenal katika dimba la Anfield mdani ya miaka 10:

2013-14: Liverpool 5-1 Arsenal
2014-15: Liverpool 2-2 Arsenal
2015-16: Liverpool 3-3 Arsenal
2016-17: Liverpool 3-1 Arsenal
2017-18: Liverpool 4-0 Arsenal
2018-19: Liverpool 5-1 Arsenal
2019-20: Liverpool 3-1 Arsenal
2020-21: Liverpool 3-1 Arsenal
2021-22: Liverpool 4-0 Arsenal
2022-23: Liverpool 2-2 Arsenal

Leo ni siku nyingine na mwaka mwingine Arsenal kazini kwenu kuna kazi.

ni kubaya.View attachment 2850538
Wajiandae tu kisaikolojia kupokea kichapo cha mbwa koko
 
Back
Top Bottom