Analeta "vibe" la Chidi MakameSaka aondoe hizo rangi zake kichwani.
Leo hajafanya poa.Kai atusamehe sana humu ndani
Rice hana baya bonge la playerBinafsi Rice simdai tena.
Mfano akianza kua hovyo kuanzia mechi ijayo na mpaka anaondoka Arsenal nitatumia hizi mechi 23 za mashindano yote kumtetea.
Binafsi Kai bado kuna vitu muhimu anakosaKai atusamehe sana humu ndani
Naona standard yetu inazidi kupanda. Kwa mfano muone huyu kenge yeye ameona tunaanza kupoteana baada ya kutoa sare, kwanini hajaandika hivi kwenye jukwaa la Liverpool?Mmeanza kupoteana kama kawaida yenu, hizi ndio siku zenu za kutema nyongo
Walimwagia majiAfu hawa Liverpool kuna kitu walifanya uwanjani baada ya halftime wachezaji walikuwa wanateleza sana uwanja uchunguzwe.
Kachukua MOTWilly Saliba,
Jamaa kama hataki vile, anakaba huku anacheka. Unamuona kabisa anavyo enjoy.
Very well composed, ukimpress unafanya kazi bure tu.
Inaweza kuwa hujuma maana wao walikuwa hawatelezi ni kama walijiandaa na viatu vya mvuaWalimwagia maji
Mi hata KAI simdai.Binafsi Rice simdai tena.
Mfano akianza kua hovyo kuanzia mechi ijayo na mpaka anaondoka Arsenal nitatumia hizi mechi 23 za mashindano yote kumtetea.
Oteasijacheki game leo, vp VAR na refa alichezesha vizur leo?