Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Big up <u><b>Balantanda</b></u>,kwa ushabiki wa mpira, sio kwa timuza TZ tu, ila kwa kwa timu bora duniani! Now its official, nguli <u><b>Peasant ni mshabiki wa Arsenal</b></u>, maana anakesha humu!
<br />
<br />
Umeona eeh,anainkandya arsenal ili hatimaye iwe safi kama anavyotaka yeye ndo roho yake itatulia!
 
Bora umeongea ukweli,lakini naamini still Walcott anaweza akafanya vizuri cha msingi aingie gym ajenge mwili then Wenger amchezeshe kama Striker hasicheze pembeni
Mi naona kabadilika sana siku hizi.....Na atakuwa mzuri sana endapo atachezeshwa kati
 
Mkuu pole sana. Mda umefika sasa kununua tv inayotumia mabetri. Bila bila mkuu.
Kweli kabisa inabidi zitengenezwe TV za kutumia betri kwa wingi........thanks God nimepata sehemu ya kuangalia wanatumia jenereta
 
Aisee ule upande wa Gibs naona yule rasta anamuonea sana! Santos leo vp?
 
Arshavin Simpendi sana due to his form recently... Ila kamaliza hii game vizuri sana... kafunga... kadefend safi.... May be anaanza kubadilika....
 
Big up Balantanda,kwa ushabiki wa mpira, sio kwa timuza TZ tu, ila kwa kwa timu bora duniani! Now its official, nguli Peasant ni mshabiki wa Arsenal, maana anakesha humu!


Tafadhali sana mkuu niombe radhi kabla sijakureport kwa mods....hahahahahaha!! siwezi kuwa fat Arse hata siku moja....khe khe kheeee!!!!!
 
Back
Top Bottom