Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mkorea atakuambia zirushwe jezi...
Ode yupo. Wanabaki Kai, Partey na Rice, kwa sababu ya fitness ya Partey. Akianza Partey, Rice anaenda LCM au anakaa benchi anamuachia Kai aanze. Akianza Kai, Rice anakaa DM na Partey anasubiria bench. ILA Partey akiwa fully fit na form yake tunayoijua anaanza yeye DM na Rice anasogea LCM, Kai benchi ama namba 9 kule akiwachosha na kuwakera mabeki kwa kupress na kuwin aerial duels mpaka ndimi ziguse nyasi. Halafu Gabriel Jesus anaingia....

Mkorea hapo anakuambia "maji wataita mma"
Sasahv Mkohoti atakuja kumponda Kai hapa 🤠🤠🤠....na hivi akiwa anafungafunga ndo kabisaaaa....hasira zitazidi
 
Sasahv Mkohoti atakuja kumponda Kai hapa 🤠🤠🤠....na hivi akiwa anafungafunga ndo kabisaaaa....hasira zitazidi
Mkohoti alikuwa na hoja za kueleweka ila Kai anajitahidi siku hizi. Mpaka unaona watu wanapost humu kuwa wadiomkubali Kai wanafuata maneno ya Mkohoti (kama hawamuoni anavyocheza vile). Akiendelea zaidi Mkohoti atajikuta hana hoja tena bali ramli tupu.
 
Kauli za Mkohoti ni ngumu kuzitenganisha na waganga wa jadi
Akiendelea hivi huyu jamaa uzeeni lazima atakua mchawi tu
 
mkorea atakuambia zirushwe jezi...
Ode yupo. Wanabaki Kai, Partey na Rice, kwa sababu ya fitness ya Partey. Akianza Partey, Rice anaenda LCM au anakaa benchi anamuachia Kai aanze. Akianza Kai, Rice anakaa DM na Partey anasubiria bench. ILA Partey akiwa fully fit na form yake tunayoijua anaanza yeye DM na Rice anasogea LCM, Kai benchi ama namba 9 kule akiwachosha na kuwakera mabeki kwa kupress na kuwin aerial duels mpaka ndimi ziguse nyasi. Halafu Gabriel Jesus anaingia....

Mkorea hapo anakuambia "maji wataita mma"
Aisee kimetengenezwa kitu kizuri sana kwenye kikosi chetu, ukiumia tu una kazi ya ziada kurudi kikosini kwenye baadhi ya nafasi
 
Aisee kimetengenezwa kitu kizuri sana kwenye kikosi chetu, ukiumia tu una kazi ya ziada kurudi kikosini kwenye baadhi ya nafasi
Arsenal ya hivi tumeitamani kwa muda ingawa bado hapo tunaona tunahitaji kuboresha zaidi na zaidi. Kila nafasi iwe na top top top quality (kama asemavyo Wenger). Ingawa upande mwingine ni vishida vuguvugu kama Ramsdale kununa kupitiliza kisa Raya amempiku.
 
Hakuna kocha dunia ya leo asietamani kuwa na Kai katika kikosi chake. Hakuna
images%20(2).jpg
 
Arsenal ya hivi tumeitamani kwa muda ingawa bado hapo tunaona tunahitaji kuboresha zaidi na zaidi. Kila nafasi iwe na top top top quality (kama asemavyo Wenger). Ingawa upande mwingine ni vishida vuguvugu kama Ramsdale kununa kupitiliza kisa Raya amempiku.
Yaah ni ngumu hasa eneo la goalkeeper bora maeneo mengine inawezekana
 
Aiseee. Mkuu umenikumbusha mbali sana. 2010 wakati tunacheza na F.C Porto kwao pale, kuna goli moja walitupiga la chaap chaap.
Sikumbuki kilitokea kitu gani, ila ilikuwa foul ndani ya box, wakati wachezaji wa Arsenal tunaongea na refa, mchezaji wa Porto akapiga freekick haraka haraka kumpasia Falcao watakupiga kamba, matokeo ikawa Porto 2-1 Arsenal.
Next game wakaja maghetoni, Emirates, wakala 5 freshiiiii kabisaaaaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ile nakumbuka beki alikuwa sol campbell ndio karudi kumalizia soka lake..
Kike kitendo kinatokea akili ikamjia anafanya maamuzi tayari wenzie wamemuwahi, nakumbuka mpaka jezi zetu msimu huo.
 
Jaman tumesajili Scout kutoka Madrid ,Paul Xavier ,

Ni scout specialist kwa soko la Latin America tu

Alifanya kazi na Edu timu ya Taifa ya Brazil ,alikuwa scout wa man u academy

Paulo Xavier alihusika katika mikataba ya Rodrygo, Vini, Endrick, Valverde, Reinier. Na akiwa katika akademi ya Man Utd kama skauti wao wa Brazil alimleta Martinelli huko kwa majaribio kadhaa.

Arsenal tumekuwa wazembe kidogo kwenye soko la watoto wakiamerica

Naona Arsenal wameliona Hilo wameshusha huyu jamaa ,alikuwa chini ya Juni Calafat ,

Ataànza kazi January
20231218_221330.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom