Haya mambo yapo everywhere zinapokutana timu mbili kuna underdog na favourite. Hata ukisikiliza mazungumzo ya underdog utawasikia wakipanga mikakati ya kumzuia favourite wakati favourite anapanga kumuua underdog.
Hata ukimuuliza kocha wa Porto atakubali kuwa yeye anapanda mlima huku Arsenal anashuka, lakini hiyo haiondoi nafasi ya underdog kumsurprise favourite.
Kimsingi underdog na favourite ni mentality za game approach kwa mtu anayejua ABCs za mpira na si dharau dhidi ya mpinzani.
Anayebisha Porto sio underdog kwa Arsenal alete odds za betting company zooote tuone maana hao wanarisk kuliwa hela zao so hawawezi fanya joking hata kidogo.
Sasa namshangaa mtu anapotaka tumtreat Porto kama favourite, hilo halipo. Atavamiwa kama underdog unless aje na surprise package ya kutufanya tubadili game plan.
Sisi kumpa hadhi yake ya underdog haimzuii kwa namna yoyote kufanya anachotaka kufanya, hata akishinda hii tie ukweli utabaki kuwa ni underdog kwetu, simple.