computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Sahihi kabisa hata Mimi jana nilijua Nyumbu atapigwa si chini ya 3 goals but result ya jana pia imekuwa nzuri kwetuUnakumbuka jinsi juzi tu hapa Saint Anne aliweka orodha ya wachezaji wa5 dhidi ya Manyumbu akawadai magoli mawili mawili kila mmoja? Yaani alitaka wawapie nyumbu 10-0. Hiyo aliona kwa form ya Liverpool una ujinga waliokuwa wanacheza manyumbu na kipa wao Onana, ushindi ulionekana upo nje nje kabisa. Ila jana kilichotokea kila mtu anafahamu.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
🦯

JUST IN from @FrazFletcher:
️