Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuchel on Havertz:

"Dennis Bergkamp, Robin Van Persie, Barbetov kind of player. He can play in the half position because he makes good runs, feels free from the 9 and creates overloads to one side and he arrives in the centre."
Barbertov akaja kuulizwa

“Who is the current Premier League player that resembles your playstyle?”

Dimitar Berbatov: “First name popping into my mind is Kai Havertz.”

20231218_200853.jpg
 
Viktor Gyökeres, naona hili jina linatajwa sana katika pages za Guners insta na X.
Any one atupe ABC za hili striker la Kiswedi
 
Jurrien Timber is on track to return to training in January and is now aiming to make the squad for the trip to Porto in late February.

[@MoArsenal86]
 
Viktor Gyökeres, naona hili jina linatajwa sana katika pages za Guners insta na X.
Any one atupe ABC za hili striker la Kiswedi
Kawika msimu huu ana release clause ya €100m

Ni risk kumsajili Sasa kwa Bei hiyo ,

Risk Kama hiyo walichukua Liverpool kwa Nunez wakatoa €80-85m
 
Hyu mwaka jana alikataa kuuzwa pale Everton mpk ahakikishe timu haijashuka daraja...na haijashuka kwli....ana loyalty ya ukweli....mi wahusishwe na Kila mtu ila kama DM watuletee mtu hasa...Partey auzwe ila kama anataka kunyanyua kwapa mwsho wa msimu anaweza akabaki akawa anapewa mechi spesho....zile za watu viburi kama kina Manunu na West Ham🤠🤠🤠....awe anakumbushia kdgo
Body language ya Kai tu inakusaidia Kama kocha ku impliment mbinu zako

Tukimpata Palhina au Amadou Onana jamaa ana futi 6 na nusu

It's over

Huyo jamaa Ni monster ,mkali wa Duels ,

Naona mitandaoni wanaogopa Kama tutampata Palhina au Amadou Onana

Ninachokiona Mikel anaweka ile Haram football Lakini ina mixer ya matechnician

Hii ni tofauti na Arsenal ya Wenger ilikuwa na mafundi wengi Ila haikuwa vzr kwenye physicality

View attachment 2846943
 
Hiki kipindi cha sikukuu, Kanisani wametufundisha “Tusameheane” kwa muktadha huo nimemsamehe mwana Arsenal mwenzangu ambaye tulitofautiana kwa kauli zisizo za kiungwana na kupelekea kum-block.
arsenal2004 sina tena kinyongo na wewe; ila sikulazimisha kuyasahau yaliyopita
Mkuu mm sina tatizo na ww....habari za kuweka kinyongo huwa sina🤠🤠🤠....sijawahi kusahau tulivyopelekeshana ndo maana wakati mwingine nikitaka kuku quote kwny baadhi ya Comment zako nakuwa nakumbuka kwmba Mwamba tulisagiana kunguni kwhyo napita kushoto🤠🤠...ila tuanze upya tupo hmu kwa burudani tu...No need for violence
 
Hiki kipindi cha sikukuu, Kanisani wametufundisha “Tusameheane” kwa muktadha huo nimemsamehe mwana Arsenal mwenzangu ambaye tulitofautiana kwa kauli zisizo za kiungwana na kupelekea kum-block.
arsenal2004 sina tena kinyongo na wewe; ila sikulazimisha kuyasahau yaliyopita
Safi Sana mate ,moja ya kitu sipend kwenye maisha kugombana na Arsenal fans ,huwa najitahid Sana niepuke Hilo, Arsenal fans Mimi huwa nawachukulia Kama ndugu zangu wa damu kabisa ,

Nimewahi kupitia Hali ngumu sana ,moja nadaiwa Kodi Sina kazi, kuna Arsenal fan akanisaidia kazi kwenye ofisi yake

Nishafikwa na maswaibu acha tu, Mke ameshikwa uchungu na Sina pesa ya hospitali ,Arsenal fan akanisaidia

Nishasaidiwa na Mimi kusaidiana na Arsenal fans katika shida na Raha nyingi ,

Thus why events za kutoa misaada za Arsenal fans huwa sikosi ,na mwaka huu ipo yakuchangia wagonjwa wa moyo

Ukishakuwa mwana Arsenal tayari Kuna DNA ya undugu inajengeka ndani yako

Fatilia hata wachezaji wa Arsenal ,huwa wanalisema hili Sana ,hata wanapokuwa wameondoka .... Mohammed Elneny alielezea Sana hili ,

For me Arsenal Ni part ya maisha sababu imeniunganisha na watu wengi , nikisafiri hata sehemu Kama Sina pakufikia nitamtafuta Arsenal fan maisha yatendelea
 
Mkuu hii inanikumbusha tukio moja mtaani huku. Kuna jamaa mwana gunnerz tulikuwa tunakutana naye banda umiza tuu. Wote mashabiki wa Arsenal. Hatufahamiana kivile kuanzia majina wala nani anaishi wapi. N zile za "Niaje" anajibu "Freshi" maisha yanasonga.

Siku hiyo napita mitaa ya mbelembele, nakuta kuna ugomvo mkubwa unaendelea kipande hiko. Nikasema nisogee kuona kimachoendelea.

Mara namkuta jamaa ndo anataka kuzichapa na jamaa mwingine, na kila majirani "wakigombelezea" jamaa haelewi kabisa.

Basi ikabidi na mimi niingilie kati, jamaa hata simjui. Nikawa naita "Mzee wa gunners" acha bhana, tulia achana naye huyo jamaa. Jamaa naye ananijibu "mzee wa gunnerz" acha nimshikie adabu huyu mduanzi.

M nazidi kumsihi achana naye bhana mzee wa gunnerz. Basi jamaa ikabidi aachane naye na ugomvi ukaishia hapo
 
Dah
 
Kutoka kwa Madee huyu ndiye Rais wetu wa Arsenal Tanzania , Edo amekuwa mambo mengi

Madee anaandika

in case ulikua hujui.. ukiingia EMIRATES STADIUM upande wa kaskazini utakutana na hilo bango kubwaa ARSENAL TANZANIA... na hizi juhudi tulizifanya mwaka 2014 ... baada ya kusajiliwa na kutambulika kama Members... @asc_tanzania ingekua kinyonge sana unaingia uwanja mkubwa kama ule.. uliopambwa na bendera za nchi nyingi Duniani halafu nisione bendera yangu... mwaka 2022 wakati ARSENAL ipo kwenye mchakato wakubadili muonekano wa uwanja uongozi wangu wa @asc_tanzania ulifanya mawasiliano na Mark Brindle ambae ndie Arsenal supporters.. officer tukafata taratibu zote zakuomba nasisi tupate alama ya utambulisho hawakutupinga, na bendera ya tanzania inaonekana hapo ukipita mbele kabisa yasura ya uwanja (swipe) na hii nibaada yakufatilia nakugundua tunafanya sana kazi za jamii kwa ukaribu sana... (swipe) mwakani mwezi watatu mwishoni tunatarajia kua na ARSENAL AFRICA FANS FESTIVAL tunashirikiana na majirani zetu UGANGA KENYA ZAMBIA GHANA NIGERIA RWANDA na ETHIOPIA ndani yake pia kutakua na charity ambayo safari hii tumepanga kuchangia baadhi ya watoto wenye matatizo ya moyo na tunashirikiana kwa ukaribu na TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)na kila kitu kipo kwenye mstari.. hii ndio maana halisi ya timu kubwa... kama utaguswa na hii Charity unaweza kutoa mchango kupitia Account Number: 0133833985900
Account Name: Arsenal Supporters Club Tanzania
Bank Name: CRDB Bank PLC , kwamawasiliano zaidi piga no +255 712 889 782‬,washkaji zangu wa Manchester Chelsea Liverpool mnaweza pia kugezea hili.... ili mkifika kwenye viwanja vyatimu zenu uikute bendera ya nchi yako.. MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI ARSENAL TUCHUKUE EPL NA UEFA!!
madeeali-20231219-0007.jpg
View attachment 2847209View attachment 2847211
madeeali-20231219-0004.jpg
View attachment 2847214
madeeali-20231219-0002.jpg
madeeali-20231219-0001.jpg
 
Kuelekea Tamasha la Mashabiki wa Arsenal Africa hapo April 2024, Arsenal Supporters Club Tanzania inaungana na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (Jakaya Kikwete Cardiac Insititute -JKCI) kuchangisha pesa kwa ajili ya kusaidia upasuaji kwa watoto wenye changamoto ya moyo

Ambayo wazazi hawana uwezo wa kumudu gharama hizo.

Pamoja tuungane kuleta mabadiliko
20231219_180617.jpg
 
Back
Top Bottom