Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Champions League last-16 draw in full
FC Porto v Arsenal
Napoli v Barcelona
Paris St-Germain v Real Sociedad
Inter Milan v Atletico Madrid
PSV Eindhoven v Borussia Dortmund
Lazio v Bayern Munich
FC Copenhagen v Manchester City
RB Leipzig v Real Madrid
 
Kwa ratiba Hii
Arsenal kapita
BVB kapita
City kapita
Bayern Kapita
Madrid kapita
PSG asipokua serious ataaibishwa
Napoli na Barca ni 50/50
Inter na Atlet pia ni 50/50
20231218_143028.jpg
 
Yes hata me Osimhen simuamini sana sababu anatokea league nyingine, labda ingekuwa summer sawa anapata muda wa kuadjust kwenye pre-season ila kwa january transfer tunahitaji mtu wa kutupa immediate impact kwa ku-upgrade pale tulipo kupush kwenye Epl na Uefa pia.

Ivan Toney ni premier league proven lakini kwa situation yake hana match fitness sijajua yuko katika shape gani currently ila kama ataendelea alipoishia, nadhani atatufaa zaidi.
Alishaanza mazoezi binafsi ili kujiweka sawa, pia hua anafanya mazoezi na timu na kujumuishwa kwenye zile mechi za kirafiki za ndani
 
Head-to-head records of Arsenal against FC Porto in Champions League

6 games
3 wins
1 draw
2 loses

Sept 2006: Arsenal 2-0 Porto
Dec 2006: Porto 0-0 Arsenal
Sept 2008: Arsenal 4-0 Porto
Dec 2008: Porto 2-0 Arsenal
Feb 2010: Porto 2-1 Arsenal
Mar 2010: Arsenal 5-0 Porto
20231218_143241.jpg
 
Hawa Porto angalau kama Arsenal tunahistoria nao kidogo. Tuombe mambo yaende tunavyotaka tujikute robo fainali. Tena tukianza kwa kuwapiga kwao itapendeza zaidi, Hawa ni wakupigwa home and away hakuna huruma.
 
Hawa Porto angalau kama Arsenal tunahistoria nao kidogo. Tuombe mambo yaende tunavyotaka tujikute robo fainali. Tena tukianza kwa kuwapiga kwao itapendeza zaidi, Hawa ni wakupigwa home and away hakuna huruma.
Aggregate itakuwa 4-0

Mark my words
 
Ipi hiyo ,wewe ungana na kina manjesta Kaka

Yaan unategemea nije humu niseme Arsenal atapigwa na Porto ili nikufurahishe wewe na kina flano
Football sio mdomo ni kwenye play ground huwezi sema fulani amepita na mwingine ametoka no way hapo ndipo tunapishana hakuna easy fixtures hapo,in reality unaweza sema Arsenal amepata average opponent refer sporting last season kwenye Europa league au kwa hili unaweza ukasema kuwa ni michuano tofauti ? Sporting alitupa suprise ya maumivu pale pale Emirates


Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Champions League last-16 draw in full
FC Porto v Arsenal
Napoli v Barcelona
Paris St-Germain v Real Sociedad
Inter Milan v Atletico Madrid
PSV Eindhoven v Borussia Dortmund
Lazio v Bayern Munich
FC Copenhagen v Manchester City
RB Leipzig v Real Madrid

Sarri alitamani akutane na Barca ila kaangukia kwa Bayern, binafsi naona kama wametii kiu yake.

Mbali na kuwa alisema hajawahi kutana na Barca in his entire coaching career ila naamini tamaa yake ya kumuokota Barca ni current form yake na si vinginevyo. Prime Barca ya kina Messi, Xavi, Iniesta et al haikuwa ya kuitamani, kuiokota Barca enzi zile ilikuwa ni sawa na kutupa ndoano kisha uvue mamba wakati watu nyumbani wanasubiri kitoweo.

Barca na Bayern msimu huu ukiwatazama ni kama wagonjwa tofauti waliolazwa wodi moja.
 
Back
Top Bottom