hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Arsenal for sure wanashusha CF January hii
Nimeona sehemu wanamtaka Ivan Toney kwa mkopo dry hadi june , Brentford wanataka obligation to buy
Arsenal wanataka wamchukue kwa option to buy ili iwe rahisi Kama hawatamtaka ,Summer wamfatilie Osimhen
Ivan Toney anavutiwa kwenda Arsenal